Nzi, kwa msimu huu kubali tu kuwa, Manure utd inabakia kuwa ni team KUBWA, lakini isiyo na UBORA wowote kwenye perfomance ya uwanjani..
Hadi sasa arifu huna facts za kuonyesha kwanini United haiwezi kusaini world class players!!! Hizo ulizoandika hapo juu ni porojo tu! Mtu huwezi kuishi kwa mazoea; eti United haiwezi kutoa 50 million kwa ajili ya Cavani!! Ndiyo maana nikahisi labda na wewe ni Glazer family member. Maana unajua mambo ya ndani sana. Wewe ndiyo wale waliokuwa wakisema Moyes hawezi fukuzwa kwani siyo utamaduni wa United. Hawa wanamfahamu SAF tu, aliyekaa miaka 27. Hivyo lazima washangae United kufukuza kocha.
Lakini pia hauijui United wewe. United ina tamaduni ya kuwa na record transfer fees katika British footie. Kuanzia kwa Dennis Law hadi kwa Bryan Robson, kisha Veron hadi kwa Rio. United imekuwa ikivunja rekodi. Sasa leo mtu anasema eti United haiwezi kulipa 50 million!!! My goodness me, ukaanga sumu mbaya.
Nikirudi kwenye suala la Kroos. Dogo anaona yupo undervalued Bayern. Anaperform vizuri anapocheza, analipwa kiduchu. Unafurahisha unavyopondo tetesi za magazetini, huku mwenyewe ukitumia tetesi za magazetini kusema Kroos alisema anataka UCL footie!!
Kwahiyo kama mrusi akimtaka, ndiyo ina maana hawezi kuchukuliwa na United? RvP anatakiwa na pesa ya mafuta, pesa ya gesi ndiyo itaweza kushindana na jina la #ManUnited
Una jingine?
Lete sababu zenye facts na siyo porojo arife..
Ona sasa...mimi naongelea masuala ya usajili wa msimu ujao, wewe unasema kwa msimu huu!
Kwani unavyosema United haiwezi kusajili world class players, unaongelea msimu upi?!?
Narudia tena: "Form is temporary but class is permanent".
Kama hutaki kale chupa zilizosagwa..

Hapa, tunaongelea suala la WORLD CLASS PLAYERS kuja Manure utd..
nadhani unaelewa maana ya WORLD CLASS PLAYERS kaka!!
Kwa nafasi uliyopo wewe sahiv, huwez kumahawishi mchezaji kama Suarez, Diego Costa, Messi, Iniesta, Kroos, Lahm, Robben, Aguero, Silva, Toure, Bastian, Lewandowsk na wengineo ambao ni World class kuja kucheza hapo OT, hiyo ni fact Nzi..
Kuna players ambao Manure inaweza ikawashawishi kuja hapo, Akina Dzeko, Javi garcia, Schurrie, Tello, Sanchez, Bender, Gotze, Song, barkely, Baines, Moreno, Shaw, Reges, Navas, na wengineo ambayo hawako consdered kama ni world class players kaka!!
sahiv wewe, ndo unaweza ukatengeneza world class players, lakini siyo kusubiria World class players waje kwenye team yako hiyo kwa nafas uliyopo!
unaweza ukafanya Major signings n zikaja kucreate World class players, mfani ni Man city, chelsea na liverpool kwa Suarez..
Kwa nafas uliyopo, sahiv kaka, huwez kunidanfanya kuwa una uwezo wa kuleta WORLD CLASS PLAYERS, labda tu tuwe tunatofautiana katika kujua maana y hilo neno..
Manake kuna kipind tulibishana hapa kuhusu STEVEN GERRARD, na ukasema siyo World class player, asa kama ni hivyo nadhan utakuwa unaelewa nini maana ya world class player indeed..
USIKU MWEMA aisee!
I got A big GAME tomorrow.
Duh! Sasa kusajili wachezaji wote hao inawezekana kweli?!?
Unajua wachezaji ambao United inawataka? United inahitaji world class players kama wawili ama watatu tu. Kisha itasajili squad players kuongeza depth ya squad; na kutengeneza future world class footballers.
So far, kumejaa speculations tu. Hakuna anayejua zaidi ya udaku wa magazetini. United bado haijatable deals kwa Kroos, Reus, Gundogan na Cavani. Hao ndiyo world class players wanaokuwa speculated kuja United. Kuna akina Carvalho William, Mangala, Garay, Shaw na Lallana, nao ni speculations tu. No deal has been tabled so far.
Jambo la mwisho mpira wa sasa ni pesa tu...kitu ambacho kipo kwa United, haswa kikiongezeka kwa world-record kit and shirt sponsorship deals. Hizi zimeongeza ubabe wa pesa za usajili. Ndio maana hadi sasa inasemekana 200 million quids zitatumika kusajili wachezaji wapya.
Unashikilia nafasi iliyopo timu sasa hivi, na kusahau historia na vision ya klabu kuwa zinaweza kuwa factors za kupata hao wachezaji. Mchezaji anaweza kuvutiwa na prospects za kuingia katika historia ya klabu haswa juu ya kuwa sehemu ya new United era!
Lala unono...na kesho kikombe ndiyo baibai.
Hapa, tunaongelea suala la WORLD CLASS PLAYERS kuja Manure utd..
nadhani unaelewa maana ya WORLD CLASS PLAYERS kaka!!
Kwa nafasi uliyopo wewe sahiv, huwez kumahawishi mchezaji kama Suarez, Diego Costa, Messi, Iniesta, Kroos, Lahm, Robben, Aguero, Silva, Toure, Bastian, Lewandowsk na wengineo ambao ni World class kuja kucheza hapo OT, hiyo ni fact Nzi..
Kuna players ambao Manure inaweza ikawashawishi kuja hapo, Akina Dzeko, Javi garcia, Schurrie, Tello, Sanchez, Bender, Gotze, Song, barkely, Baines, Moreno, Shaw, Reges, Navas, na wengineo ambayo hawako consdered kama ni world class players kaka!!
sahiv wewe, ndo unaweza ukatengeneza world class players, lakini siyo kusubiria World class players waje kwenye team yako hiyo kwa nafas uliyopo!
unaweza ukafanya Major signings n zikaja kucreate World class players, mfani ni Man city, chelsea na liverpool kwa Suarez..
Kwa nafas uliyopo, sahiv kaka, huwez kunidanfanya kuwa una uwezo wa kuleta WORLD CLASS PLAYERS, labda tu tuwe tunatofautiana katika kujua maana y hilo neno..
Manake kuna kipind tulibishana hapa kuhusu STEVEN GERRARD, na ukasema siyo World class player, asa kama ni hivyo nadhan utakuwa unaelewa nini maana ya world class player indeed..
Drogba na Etoo, waliondoka hizo team zao za awali wakiwa na miaka mingapi???
Lala unono...na kesho kikombe ndiyo baibai.
Mkuu uwe unakumbuka unachoongea
Hapa uliona ni sawa kwa wachezaji hawa kuondoka Etoo alikuwa na 29
Sasa huyo kwenye rangi nyekundu vipi? hawawezi kuamua kubadilisha upepo?
Thibitisha kauli yako plz..!!
Ohh kwa Ozil tusubiri mpaka msimu wa pili ila kwa Bebe ni msimu mmoja tuu?
Giggs ana mechi nne tuu za kuwa Kocha
Nzi, huwezi kununua wachezaji kutoka Bayern, madrid, Barca, Dortmund, Atletco madrid, PSG, na club nyinginezo KUBWA,
wewe hangaika na akina Lallana, Luke shaw na wachezaj wengne wa Benifica, porto, Bilbao, Lyon, Schalke O4, na nyingnezo za kiwango cha kati..
wachezaj kutoka team kubwa nilizozitaja hapo juu, utakaowapata ni wale ambao hawana number za kudum kwenye vikosi vyao..kina shaquir, Pastore, Tello, Coentrao, na wengineo which are not WORLD CLASS PLAYERS..labda umnunue Calvalho yule uje kumfanya awe World class player!!!
Afu mtu kama yaya toure, aliondoka Barca kwasababu ya ugumu wa Number, Na aina ya wachezaji kama David silva kuwapata Teams kama za valencia ni ngum sana sahv!!!
Na japokuwa Manure utd ni tajiri, lakini huna uwezo wa kulipa wachezaj zaid ya sita mshahara wa zaidi ya 200k, hapo tusidanganyane..hiyo siyo policy yeny hata kidogo!!!
Na pia Manure haiwez kutoa 50 kwa mchezaji kama Cavani..hilo na wewe unalijua!!!
Duh, ina maana Bebe bado yupo katika payroll? Kama ni hivyo itabidi nitafute agent nijichanganye Old Trafford.
unakumbuka Tim sherwood alvyochukua team ya spurs baada ya AVB kufukuzwa..matokeo yake ya awali yalikuwa hivi hivi..
lakin mwisho wa siku wote tunajua yanayoendelea spurs pale..
So mpeni mkataba giggs tu!!
hakika,walau tupumuetumefutwa machozi....
Hata ManUnited ilivyokuwa on top sidhani kama ilikuwa inasajili wachezaji kutoka Bayern,Barca,Madrid,Juve,Milan but still ilipata wachezaji wazuri Vidic,Evra,Van de Sar,Ronaldo,Stam,Rafael,Chicharito,Tevez,Berbatov,RVP hawakutoka kwenye hizo timu but mchango wao ulionekana kwenye timu.
Kuhusu pesa sidhani kama ni kikwazo Man United huwa inavunja rekodi ya usajili miaka yote.I hope ujio wa kocha mpya ataleta wachezaji wa kiholanzi
Giggsy has 26 years of experience and mostly as a senior player. He knows better United
Sawa. Ni kama nyie namba 4 ni haki yenu ya kuzaliwa.