Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siku zote kocha akikaa na timu muda mrefu akipata mafanikio akija kuondoka timu inapata shida sana

AC Milan since ameondoka Anceloti bado wanastruggle Barca since Pep ameondoka now wana struggle hata Klopp akiondoka BVB watapata tabu sana
Moyes kakaa na Everton miaka 11 baada ya kuondoka martinez kaifikisha wapi ndani ya msimu mmoja..??

SAF anaijua sana hiyo timu hata akirudishwa anaweza chukua ubingwa na timu hiyohiyo.Tatizo la ManUnited sio kuleta kocha mpya tu bali kumsaidia na kumwandalia mazingira kuondoka kwa SAF,staff coach na David Gill kwa pamoja it was big loss
Moyes alitaka kuweka staff wake..matokeo yake akaja na Philip Nevelle

Nakubali ilikuwa sahihi kumfukuza Moyes pamoja na kukaa msimu mzima sijaona kama kuna kitu ambacho ameongeza kwenye timu na ameshindwa ku-motivate wachezaji
Hapa umeongea...pamoja sana mkuu
 
Now Stand by your New Interim Manager Mashabiki wa United Mr Ryan Giggs, Moyes anasubiri 5M! Yake kwenye Account Newcastle Pengine watamuokoa.
 
Moyes downfall......

sept 1....0-1 vs liverpool
Moyes-career-gallery-002.jpg
1 September United suffer their first defeat under David Moyes as Daniel Sturridge gives Liverpool a 1-0 victory at Anfield. Wayne Rooney misses the game after being kicked in the head by Phil Jones in training" height="480" width="686">

13sept....27mil for Fellaini??
Moyes-career-gallery-001.jpg
13 September A disastrous transfer season sees Moyes sign Marouanne Fellaini for £27.5m – £4.5 more than his buyout clause – after unsucessfully trying to sign Cesc Fàbregas, Ander Herrera, Leighton Bains and Fábio Coentrão" height="480" width="654">

sept22...4-1 hammering from city rivals
Moyes-career-gallery-003.jpg
22 September Hammered 4-1 at Manchester City. This time Robin van Persie is absent with a thigh injury" height="480" width="693">

sept28...2-1 defeat vs wes brom!!
Moyes-career-gallery-004.jpg
28 September United lose 2-1 at home to West Brom, ending the Baggies' 35-year wait for an Old Trafford victory" height="479" width="760">

dec4...1-0 vs everton another home defeat
Moyes-career-gallery-006.jpg
4 December Bryan Oviedo scores four minutes from time as Moyes' former club Everton end their 21-year wait for an away win over United" height="480" width="722">

dec7...newcastle recorded their first win at OT since 1972!!
Moyes-career-gallery-008.jpg
7 December Yohan Cabaye gets the only goal as Newcastle win at Old Trafford for the first time since 1972" height="443" width="760">

5jan...swansea recorded their first time at OT
Moyes-career-gallery-011.jpg
5 January Swansea win at Old Trafford for the first time as Wilfried Bony's late goal sends United out of the FA Cup at the third-round stage for only the second time in 30 years" height="480" width="708">
 
Siku zote kocha akikaa na timu muda mrefu akipata mafanikio akija kuondoka timu inapata shida sana

Ferguson should partly be blamed for this.

Aliondoka bila ku-prepare a smooth transition.

Pia alimwachia an average and old squad.

And, since he directly involved in picking his successors lazima awe blamed pia.
 
More MOYES misery.....

19jan....chelsea defeat
Moyes-career-gallery-013.jpg
19 January Captain Nemanja Vidic is sent off as United crash to defeat at Chelsea" height="480" width="720">

1feb...stoke recorded their first win since 1984
Moyes-career-gallery-015.jpg
1 February Stoke end their long wait for a win against United. Charlie Adam's double gives them their first since 1984" height="480" width="686">

16march...3-0 thrashing by liverpool
Moyes-career-gallery-019.jpg
16 March Two Steven Gerrard penalties and a Luis Suárez strike earn Liverpool a crushing 3-0 win at Old Trafford while Gerrard also hits the post with another penalty." height="480" width="709">

16march...another 3-0 thumping from rival!!
Moyes-career-gallery-020.jpg
25 March United lose 3-0 as Manchester City do the double over them. The result ensured United are guaranteed to end the season with their lowest points total in Premier League history" height="480" width="682">

20april....last straw
Moyes-career-gallery-025.jpg
20 April Moyes' return to Goodison Park is turned into a nightmare as Leighton Baines' penalty and a goal from Kevin Mirallas give Everton a 2-0 win, a result which confirms United cannot qualify for the Champions League" height="480" width="707">

MOYES TUMEKUVUMILIA SANA,YOU HAVE TO GO....HUIWEZI HII TIMU UENDE SALAMA,BYE BYE
Moyes-career-gallery-026.jpg
20 April During their 2-0 defeat away at Everton, a Paddy Power publicity stunt proves prescient – two days later, David Moyes is sacked" height="480" width="724">
 
Mndengereko na EMT juzijuzi tu Huyu Wenger alikua ktk pressure ya kuondoshwa km Hatoweza kuingia kwa top 4. Lkn tusivunjike moyo! Utafika muda ataondoka! Huyu Wenger na Moyes wanaharibu ligi ya EPL kwasababu timu zao zinawapenzi wengi Lkn ktk ligi hawana ushindani!

Angalia Leo mpk Loserfool wanajiona vidume! Lkn km man Utd na arsenal wangekua na ushindani mambo yangekua pouwa! Timu zimebaki mbili tu! City na chelsea na hao Loserfool Ndio wanaibuka!

Aende tu Moyes! Binafsi Nimefurahi!
sure mkuu kwa fansbase waliojiwekea man u dunia nzima na patnership deals walizoingia dunia nzima hasa asia na marekani to be honest wanahitaji kuwepo mbali zaidi ya walipo pale sasa hivi yaani ingewachukua minimum 5 years kuwepo walipo sasa hivi so bad imewachuka just 11 months,mimi nataka sana kocha atakaeckuja pale sasa hivi asiwe na asili ya uk kwa maana asiwe mscotland,muingereza wala muwales awe kutoka nchi nyingine kabisa ndo naamini anaweza kuibadilisha man u i realy hope klopp ndo aje achukue timu kuliko van gaal lakini najua hilo lityakuwa gumu kiasi coz ameshasema hana intersest na man u klakini naamini mbele ya fedha hakunaktakachoweza kusjhindikana lets hope tutampata kocha anaestahili kuifundisha man u na sio kuleta upendeleo wa kuteuana(favourtism)
 
Mie muda mwengine na wasiwasi Kama watu wa Betting ni Mafia na ndio wacheza rushwa wa msimamo wa games hawa Paddy Powers ndio wa Mwanzo kujua Moyes anaondoshwa Ndomana Stunt alienda game ya Everton kuonyesha Moyes muda wake umefika Odds muda mwingi zinajulisha nani anaenda wapi au nani anatoa ubingwa au nani anafukuzwa wanazicheza hizi game za Football sio Italy peke yake kuna rushwa.
 
Moyes ametimuliwa kwa timu kufanya vibaya na sio kushindwa kusajili wachezaji kumbuka hata SAF alishindwa kuwasajili Shearer,Hazard,Moura,Baines, Roben,Gaucho
tatizo ni kwamba alipewa timu wakati mbaya hata angekuja kocha gani angechemsha but Moyes alichemka zaidi tofauti na management ilivyotegemea

In short SAF ndio mtu wa kulaumiwa kwenye hii issue ya Moyes
najua hilo mkuu yeye kasajiliwa pale ilitimu ipate matokeo regardless atassajili au hata sajili cha msingi timu ipate mafanikio lakini as long as ye mwenyewe alikuwa anathibitisha kwamba timu yake haifanyi vizuri kutokana na aina ya wachezaji aliokuwa nao so swala la kushindwa kusajili inabidi iwe blame yake na hiyo ndo ilikuwa concern yangu
 
Mkuu achana nao kwanza nashangaa mashabiki wa Arsenal ndio wako mbele kumtetea Moyes..poor them walifikiri nao watapata mtelemko kama wengine...
Sasa mjadala wa #moyesout #wrongone #stupidone ushafungwa sasa wapenzi na tunaoitakia mema timu yetu pendwa Man U tunaamishia akili za kumpata Van Gal..huyu bwana anauwezo hata wa kuwafanya waremavu wapige chenga achana kabisa na mduch huyu..
Glory Glory Man U
Mdengereko ndugu yangu sina jinsi ila nilitamani tungepata wasaa leo kusherekea ushindi wetu huu...maana hili vugu vugu na sala zetu tumezianza zamani sana..ilikua ni kazi sana kumfanya Inzi atuelewe tulipokua tunasema Moyes hafai kaprove failure in every aspect uwanjani na in dressing rooms...
Stupid #thewrongone na atuombe msamaha
sure mkuu ila mimi nampenda zaidi klop kuliko van gaal nahisi ni mzuri zaidi ya van gaal
 
Hahahaha mkuu EMT, tatizo Man U wanasoma sana dictionary afu wanaipeleka uwanjani.

Kwa taarifa tuu Man Utd wamemtimua the Chosen One tarehe ambayo walichukuwa ubingwa mwaka jana.

Man Utd ilichukuwa ubingwa tarehe 22 Aprili 2013.

Man Utd imemfukuza Moyes tarehe 22 Aprili 2014.
 
The Chosen One lost the dressing room. And, ukishapoteza the dressing room, then that is it.

We were told that there is no player power at United, lakini tumeona power ipo na imesababisha mpaka the very Chosen One kufukuzwa.

Hata akija manager mwingine bado inaweza kuleta shida kama hawa akina Neville and Giggs wataendelea kuwepo kama makocha.

Who knows, the new manager ataonekana ni mgeni, na hawa akina Giggs will want to show him that wanajua zaidi about the United Way.

The new manager should come with his own coaching team and if he decides to keep akina Neville na Giggs then, they must respect him.

Ila kwangu Neville kuwa moja wa makocha wa Man Utd ilikuwa ni kituko.

man u wamesema benchi lote la ufundi alilokuja nalo moyes lote litaondoka so ni wajibu wa kocha mpya nae kuja na benchi lake la ufundi na kuimplement mbiinu zake anazohisi zinaweza kufaa giggs nadhani mwisho wa msimu atastaafu sidhani kama ataendelea kucheza so sidhani kama atakuwa napower kubwa kama aliyokuwa nayo msimu huu coz alikuwa ni mcheaji at the same time ana act kama coach
 
sure mkuu kwa fansbase waliojiwekea man u dunia nzima na patnership deals walizoingia dunia nzima hasa asia na marekani to be honest wanahitaji kuwepo mbali zaidi ya walipo pale sasa hivi yaani ingewachukua minimum 5 years kuwepo walipo sasa hivi so bad imewachuka just 11 months,mimi nataka sana kocha atakaeckuja pale sasa hivi asiwe na asili ya uk kwa maana asiwe mscotland,muingereza wala muwales awe kutoka nchi nyingine kabisa ndo naamini anaweza kuibadilisha man u i realy hope klopp ndo aje achukue timu kuliko van gaal lakini najua hilo lityakuwa gumu kiasi coz ameshasema hana intersest na man u klakini naamini mbele ya fedha hakunaktakachoweza kusjhindikana lets hope tutampata kocha anaestahili kuifundisha man u na sio kuleta upendeleo wa kuteuana(favourtism)

Mkuu unachosema ni kweli Lkn Mimi nilipenda Yule Mzee Van Gaal aje kuliko Kloop!
 
NEW WORD IN THE DICTIONARY:
MOYES - /ˈmɒyɪs//
Noun/
1 (C) an unexpected event leading to failure.
2 (C) /informal/ a complete failure.

Examples:
1. His efforts to pass the exam ends in Moyes.
2. The last presidential election recorded massive rigging and was declared a Moyes
Can you use this new word in a sentence
 
Moyes kakaa na Everton miaka 11 baada ya kuondoka martinez kaifikisha wapi ndani ya msimu mmoja..??

Moyes alitaka kuweka staff wake..matokeo yake akaja na Philip Nevelle

Hapa umeongea...pamoja sana mkuu

Case ya Everton na United ni tofauti in short Everton hawajawahi kupata mafanikio kama United ,walikuwa na wachezaji wazuri vijana but walihitaji kocha mpya wa kuwamotivate wachezaji ndicho alichofanya Martinez
United kuna wachezaji almost 10 (Giggs,Rio,Vida,Nani,Ando,Fletcher,Rooney,Carick,Evra) wamekaa si chini ya misimu 8 na wameshinda almost kila kwetu kwenye club level wanapaswa kuendolewa ili waje wengine wenye ari mpya

Kama SAF aliweza kuilazimisha bodi impe timu Moyes sidhani kama angeshindwa kuwalazimisha abaki na wasaidizi wake.In short kulitakiwa kuwe na smooth transition kwa kocha yeyote otherwise makocha wazoefu kama Anceloti au Morinyo ndio wangeweza
 
NEW WORD IN THE DICTIONARY:
MOYES - /ˈmɒyɪs//
Noun/
1 (C) an unexpected event leading to failure.
2 (C) /informal/ a complete failure.

Examples:
1. His efforts to pass the exam ends in Moyes.
2. The last presidential election recorded massive rigging and was declared a Moyes
Can you use this new word in a sentence

Congratulation for archieving ur wishes mkuu.
 
sure mkuu kwa fansbase waliojiwekea man u dunia nzima na patnership deals walizoingia dunia nzima hasa asia na marekani to be honest wanahitaji kuwepo mbali zaidi ya walipo pale sasa hivi yaani ingewachukua minimum 5 years kuwepo walipo sasa hivi so bad imewachuka just 11 months,mimi nataka sana kocha atakaeckuja pale sasa hivi asiwe na asili ya uk kwa maana asiwe mscotland,muingereza wala muwales awe kutoka nchi nyingine kabisa ndo naamini anaweza kuibadilisha man u i realy hope klopp ndo aje achukue timu kuliko van gaal lakini najua hilo lityakuwa gumu kiasi coz ameshasema hana intersest na man u klakini naamini mbele ya fedha hakunaktakachoweza kusjhindikana lets hope tutampata kocha anaestahili kuifundisha man u na sio kuleta upendeleo wa kuteuana(favourtism)

The issue sio pesa hao makocha wanajua kazi ya kumreplace SAF ni ngumu ndio maana wengi wanaikimbia.Kwa sasa timu inahitaji kocha mwenye power similar to SAF
Makocha wa Uk(SAF,Daglish) ndio wanaiweza hiyo league hata Rodgers anatoka hukohuko
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

....Hii ndio siri pekee!

Man United mmevunja mwiko, mmekuwa kama Chelsea na ndio maana povu linanitoka!

Mwiko wa kufukuza makocha? Pengine yaweza kuwa kweli kama ukilinganisha na vilabu vingine. Lakini hata United imekuwa ikifukuza makocha wake. Ebu angalia hawa:

1. Angalia Ron Atkinson, kocha aliyerithiwa na SAF; huyo alifukuzwa, huku akiwa ameshinda vikombe viwili vya FA na community shield mara moja. Shida ilikuwa ni msimu wake wa 1986-87, ambapo alianza vibaya mno kiasi cha kushindwa kumaliza hata nusu ya msimu kama kocha wa United. Ndipo SAF akirithi mikoba.

2. Pia kuna kocha mwingine aliyeitwa Dave Sexton naye alifukuzwa mwaka 1981; ingawa huyu alikaa misimu karibu minne, huku akishinda Community Shield tu!

3. Pia kuna Frank O'Farrell naye alifukuzwa baada ya kukaa kama kocha wa United kwa takribani mwaka 1 unusu, bila kushinda kombe lolote! Huyu jamaa Frank alikuwa na utaratibu wa ajabu sana: eti mchezaji wa United akitaka kumwona, ilikuwa lazima aweke appointment kwanza!! Huyu alifukuzwa akiwa bado na miaka 3 unusu ya mkataba wake. Ni katika kipindi cha utawala wake, United iliwahi kupigwa games 7 mfululizo. Hivi ikitokea leo United inapigwa games 7 mfululizo, watu si watafariki kabisa!!

4. Kuna huyu bwana anaitwa Tommy Dochetry. Yeye alidumu kama miaka 5 hivi OT; akishinda FA cup 1 na ubingwa mmoja wa ligi daraja la pili. Lakini alikuja kufukuzwa kutokana na kuchepuka na mke wa kocha wa viungo wa United!

5. Wilfred McGuinness, ambaye alikuwa ni United damu - kwani alizaliwa Manchester na kucheza Manchester United. Kisha akawa kocha wa timu ya akiba, baadaye mwezi wa sita mwaka 1969 akawa promoted kuwa kocha wa United. Huyu jamaa alimrithi Matt Busby; yaani balaa mtupu. Ni kama David Moyes alivyomrithi SAF. Wilfred alidumu msimu mmoja tu, kwani Disemba 1970 naye akafungishwa virago vyake licha ya kuifikisha timu kwenye nusu fainali ya FA Cup mara moja na kombe la ligi mara mbili.

Chanzo: wikipedia

Halafu unavyosema tumekuwa kama Chel$ki$, kweli mtani? Come one, hivi kumfukuza kocha mara hii ndiyo tumekuwa kama Chel$ki$ ambao hadi idadi ya makocha katika miaka 10 iliyopita nahisi wameisahau!!
 
Last edited by a moderator:
Case ya Everton na United ni tofauti in short Everton hawajawahi kupata mafanikio kama United ,walikuwa na wachezaji wazuri vijana but walihitaji kocha mpya wa kuwamotivate wachezaji ndicho alichofanya Martinez
United kuna wachezaji almost 10 (Giggs,Rio,Vida,Nani,Ando,Fletcher,Rooney,Carick,Evra) wamekaa si chini ya misimu 8 na wameshinda almost kila kwetu kwenye club level wanapaswa kuendolewa ili waje wengine wenye ari mpya

Kama SAF aliweza kuilazimisha bodi impe timu Moyes sidhani kama angeshindwa kuwalazimisha abaki na wasaidizi wake.In short kulitakiwa kuwe na smooth transition kwa kocha yeyote otherwise makocha wazoefu kama Anceloti au Morinyo ndio wangeweza

.... Belo kwa mara ingine tena, unagonga point lakini unamalizia vibaya.....

#Moyes hakuja pale kutetea Ubingwa wa EPL 2013/2014.... Nani anabisha kwamba team tayari ilishafikia kikomo cha ubora wake?

#SAF alimpendekeza #Moyes kwakujua with enough Management support na resources, MANCHESTER united wataendeleza Principals, ikiwemo misingi imara aliyoiweka #SAF kuifanya iwe Dominant force kwa miaka mingine ijayo.... He (DM) was successful kuiweka tano/sita bora Everton, why not kwa Man U?

.....transition period mnayosema ina maana mngempa muda msimu wa 2014/15 asajili wachezaji anaowataka na hao kina Evra, Rio, Nani, Anderson, Vidic et al waondolewe.

Anyway, maji yeshamwagika. Mmeaikiliza sana media za Uingereza na sasa hatuwatofautishi na fukuza fukuza ya Abramovich....

#Dhambi ya kufukuza haiishi...,

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
..... Nzi nimekusoma, hahahah.....
Haya, nenda ka Google tena utaona Steve Bruce ndio aliyemuokoa #SAF asifukuzwe, maana nae miaka sita alikuwa anachechea kuijenga team.

......#Chelsea pamoja na fukuza fuluza yao, bado wanaamini Mourinho ndio Messiah wao aka #TheSpecialOne .

Ngoja nae EPL na CL vikimshinda kama hajafukuzwa tena.

So, mmeweka "mayai yote" kwenye kapu moja in the name of Ryan Giggs katika mechi nne zilizobakia?

Hala hala, yasijekuwa yale ya #Spurs kumfukuza AVB na kumpa team #TimSherwood ambaye sasa wanamuona majanga tu nae.

Best wishes watani.

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom