Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Some see this coming, watu wakadai eti kuna the so called "United Way".

Kwamba hawafukuzi makocha kama klabu nyingine.

Hata Liverpool walikuwa na so called "Liverpool Way" lakini wakaiacha long time ago.

Kwa kipindi kiki ambacho soka limekuwa la kibiashara zaidi, only results on the pitch matter, not the club's traditions.

Just imagine katika msimu huu tuu nusu ya klabu za Premiership zimebadilisha makocha.

Now tell me what is so special with Man Utd wasimtimue kocha ambaye anaipeleka timu down badala ya juu?

Mie naona tena wamechelewa sana kumtimua jamaa; have they done earlier labda bado wangekuwa kwenye Champions League semi finals.

Bado Wenger!
 
Bado Wenger!

Kwa Wenger inaweza kuwa ngumu kidogo b'se shareholders wanapata returns nzuri sana kifedha kwa yeye kuendelea kuwepo pale.

Wanaoumia kila msimu ni mashabiki wa Arsenal and they seem to have accepted this.

They are used to failures every season na sidhani kuna Man Utd supporter would buy that for the sake of keeping the Chosen One at the club.

99.99% per cent of Man Utd supporters watakubaliana na uamuzi wa kumfukuza the Chosen One hata kimoyo moyo.

I bet this must be the happiest man in the City of Manchester.

[video=youtube_share;zy8LdGQt_6Y]http://youtu.be/zy8LdGQt_6Y[/video]
 
.....sasa kaka, kama una wachezaji 15 wanaoweza cheza 1stEleven, iweje wachezaji hao hao wasielewane?
Nadhani swali lako limejijibu lenyewe, it's all down to players themselves ambao wamemuangusha Manager.
Lawama zote kwa Senior players,......

#EVRA kaka wala usimtolee mfano mwema, huyu ni kiongozi wa Mapinduzi....ushamsahau Varangati lake South Africa 2010 kwenye world Cup na team yao ya taifa ya France?

#RIO is another Culprit,.....hata Giggsy nae anaingia katika kundi hili la waliomhujumu #MOYES
Majority ya hawa so-called Senior players wanajiona wan a sauté na haji ya kucheza kuliko mabwana wadogo wanaochipukia
hii ndio iliyopelekea hata Moyes kuonekana hafai.....#dhambi ile ile iliyomuondoa SCOLARI chelsea na hata Andre Villa Boas.

....Moyes alirithi EXPERIENCED but Ageing Champions,.....kumbuka, vuguvugu na malalamiko ya Extra hard work na training zilianzishwa na nani? None other than #JudasIskariote Grumpy VAN PERSIE!

Cc Nzi, Belo, Mndengereko,...et al

still bado sielewi mkuu unatetea kitu gani? Kumbuka yule aliteuliwa kuwa manager na wala sio coach by saying so ujue kuna utofauti wa kwa coach na manager yule alikuwa na excesseive power ya kufanya chochote anachotaka kama manager utaruhusu vipi mchezaji awe juu yako??? Na wewe ndo una mamalaka yote ya kumpanga au kutompanga kumbuka van persie ndo alisema ahakubaliani na mbinu za moyes still ndio yeye moyes aliesema hajisikii amani pindi anapomtoa van persie nje ya uwanja sasa hapo kocha anaejitambua anaweza kusema hivyo??? Unamkumbuka scolari alivyoifanya brazil mwaka 2002?? Alimwacha nje kipenzi chao brazil bebeto na kuamua kumtumia chipukizi ronaldinho na watu kudoubt anachokifanya scolari na akaambiwa kama asiposhinda world cup akatafute pakuishi na akafanya wonders hapo namaanisha kwamba kocha ndo una madaraka ya nini ufanye na nini usifanye so inabidi utenngeneze way ambayo wachezaji watakuheshimu na sio kusema kutafuta sababu eti senior players hawamsupport wakati ye mwenyewe anafanya madudu,haa ye mwenyewe moyes anajua kwamba ana deserve kufukuzwa. Na bado nasema we are not done with him inabidi atuombee radhi/msamha kwa kutuharibia c.v ndo tumsamehe kufukuzwa peke yake haitoshi
 
Last edited by a moderator:
CEO ED WOODWARD kaka,....
huyo ndio aliyekuwa na dhamana ya kufanya mazungumzo na kuwasajili wachezaji MOYES aliyewataka.

we unajua moyes alimtaka mchezaji gani?? Kila mchezaji alikuwa anamtaka yeye mara gundogan,mara herrera mara fab,mara thiago mara yule dogo wa roma na yule mchezaji wa inter mara kroos,mara fellaini na baines kwa kuto jumlya ya pound m 28 kwa wote wawili sasa hapo utasema kocha anajielewa?? Kwa kifupi alikuwa hajui anamtaka nani alikuwa anabahatisha unakumbuka fergie alivyofanya kwa berbatov airport??? Koca inabidi uwe na top target yako sio kubahatisha bahatisha. Wachezaji fellaini ilikuwa thamani yake ya kuuzwa inapanda ikifika agosti 22 na moyes ndio aliomsainisha na alikuwa anajua fika ajabu akaja kumsajili tarehe 2 september kwa gharama kubwa bila ya sababu wakati angemsajili kabla ya tarehe 22 gharama yake ingekuwa chini a pound m 24 sasa kama alikuwa analijua hilo kwanini asingemsajili kabala fellaini ndo maana nakwambia alimsajili kwa kupanick thats ya nasema kocha alikuwa hajielewi ndo maana hata kuongoza senior players kwake ilikuwa kazi.
 
Niliwahi kutoa maoni yng kwa mashabiki Wa Man Utd juu ya Ya Moyes alipochaguliwa Lkn Sio hapa JF kwamba yeye ni kocha Lkn uwezo wake ni Mdogo sn! Hatoweza kuiongoza UTD! Na pia mwezi November last year nilisema hapa ktk hii thread kwamba huyo kocha afukuzwe kawasababu anaipeleka timu kubaya na kuipa hasara! Nakumbuka wakati huo mapato ya timu yalishuka na timu kupata hasara Zaidi ya Paundi million 300. Hii kiuchumi ni dalili mbaya! Hicho Ndio kilokua kipindi kizuri kumfukuza Huyu kocha! Kwasbabu ata ligi ilikua inaelekea nusu msimu! Lkn sasaivi wamechelewa sn!

Na pia Kitendo cha juzi kufungwa na timu yake ya zamani ni kibaya sn! Kwasababu Matinez hajafanya mabadiliko Makubwa ya wachezaji! Wale wachezaji Karibu wote ni wale aliowaacha Moyes! Lkn wakamfunga! Aisee!

Bado Mzee Wenger Nae pia anatakiwa kuondolewa!

wenger kutimuliwa nahisi mashaiki wa arsenal wanapaswa kuomba arsenal ifanye vibaya wasiingie top four ndio mzee ataondoka vingginevyo wakiingia top for na waichukua fa basi wenger wataendelea kuwa nae sana tu. Na stori zinawexza zikawa zilezile wanaongoza ligi mpk mwezi wa kwanza then wanawapisha wenye ligi yao
 
still bado sielewi mkuu unatetea kitu gani? Kumbuka yule aliteuliwa kuwa manager na wala sio coach by saying so ujue kuna utofauti wa kwa coach na manager yule alikuwa na excesseive power ya kufanya chochote anachotaka kama manager utaruhusu vipi mchezaji awe juu yako??? Na wewe ndo una mamalaka yote ya kumpanga au kutompanga kumbuka van persie ndo alisema ahakubaliani na mbinu za moyes still ndio yeye moyes aliesema hajisikii amani pindi anapomtoa van persie nje ya uwanja sasa hapo kocha anaejitambua anaweza kusema hivyo??? Unamkumbuka scolari alivyoifanya brazil mwaka 2002?? Alimwacha nje kipenzi chao brazil bebeto na kuamua kumtumia chipukizi ronaldinho na watu kudoubt anachokifanya scolari na akaambiwa kama asiposhinda world cup akatafute pakuishi na akafanya wonders hapo namaanisha kwamba kocha ndo una madaraka ya nini ufanye na nini usifanye so inabidi utenngeneze way ambayo wachezaji watakuheshimu na sio kusema kutafuta sababu eti senior players hawamsupport wakati ye mwenyewe anafanya madudu,haa ye mwenyewe moyes anajua kwamba ana deserve kufukuzwa. Na bado nasema we are not done with him inabidi atuombee radhi/msamha kwa kutuharibia c.v ndo tumsamehe kufukuzwa peke yake haitoshi

The Chosen One lost the dressing room. And, ukishapoteza the dressing room, then that is it.

We were told that there is no player power at United, lakini tumeona power ipo na imesababisha mpaka the very Chosen One kufukuzwa.

Hata akija manager mwingine bado inaweza kuleta shida kama hawa akina Neville and Giggs wataendelea kuwepo kama makocha.

Who knows, the new manager ataonekana ni mgeni, na hawa akina Giggs will want to show him that wanajua zaidi about the United Way.

The new manager should come with his own coaching team and if he decides to keep akina Neville na Giggs then, they must respect him.

Ila kwangu Neville kuwa moja wa makocha wa Man Utd ilikuwa ni kituko.
 
Let's drink for that mate...kwetu siye wanamapinduzi huu ni ukombozi...

waache hao wanaosema sijui angepewa muda zaidi sijui hawajafanya poa sijui dhambi ya kumfukuza itatutafuna sijui hatutopata kocha bora kama saf sisi kwanza tujipongeze kwa huyu lofa kutimuliwa then mengine yatafuata
 
Niliwahi kutoa maoni yng kwa mashabiki Wa Man Utd juu ya Ya Moyes alipochaguliwa Lkn Sio hapa JF kwamba yeye ni kocha Lkn uwezo wake ni Mdogo sn! Hatoweza kuiongoza UTD! Na pia mwezi November last year nilisema hapa ktk hii thread kwamba huyo kocha afukuzwe kawasababu anaipeleka timu kubaya na kuipa hasara! Nakumbuka wakati huo mapato ya timu yalishuka na timu kupata hasara Zaidi ya Paundi million 300. Hii kiuchumi ni dalili mbaya! Hicho Ndio kilokua kipindi kizuri kumfukuza Huyu kocha! Kwasbabu ata ligi ilikua inaelekea nusu msimu! Lkn sasaivi wamechelewa sn!

Na pia Kitendo cha juzi kufungwa na timu yake ya zamani ni kibaya sn! Kwasababu Matinez hajafanya mabadiliko Makubwa ya wachezaji! Wale wachezaji Karibu wote ni wale aliowaacha Moyes! Lkn wakamfunga! Aisee!

Bado Mzee Wenger Nae pia anatakiwa kuondolewa!

natumaini umekosea maanake turn over ndio yaweza kuwa 300m ila HASARA YA 300M MANU UTD!!!??? SASA HIVI WANGEKUWA UNDER ADMINSTRATION.....
 
Mndengereko na EMT juzijuzi tu Huyu Wenger alikua ktk pressure ya kuondoshwa km Hatoweza kuingia kwa top 4. Lkn tusivunjike moyo! Utafika muda ataondoka! Huyu Wenger na Moyes wanaharibu ligi ya EPL kwasababu timu zao zinawapenzi wengi Lkn ktk ligi hawana ushindani!

Angalia Leo mpk Loserfool wanajiona vidume! Lkn km man Utd na arsenal wangekua na ushindani mambo yangekua pouwa! Timu zimebaki mbili tu! City na chelsea na hao Loserfool Ndio wanaibuka!

Aende tu Moyes! Binafsi Nimefurahi!
 
Last edited by a moderator:
The Chosen One lost the dressing room. And, ukishapoteza the dressing room, then that is it.

We were told that there is no player power at United, lakini tumeona power ipo na imesababisha mpaka the very Chosen One kufukuzwa.

Hata akija manager mwingine bado inaweza kuleta shida kama hawa akina Neville and Giggs wataendelea kuwepo kama makocha.

Who knows, the new manager ataonekana ni mgeni, na hawa akina Giggs will want to show him that wanajua zaidi about the United Way.

The new manager should come with his own coaching team and if he decides to keep akina Neville na Giggs then, they must respect him.

Ila kwangu Neville kuwa moja wa makocha wa Man Utd ilikuwa ni kituko.

hata Moyes aliwachagua akina Giggs na Neville yeye mwenyewe na akawatimua backroom staff wote aliowaacha Sir Alex kitu ambacho wataalam wengi wa soka walimshangaa.

Inatakiwa aje kocha mwenye personality na reputation kubwa kama Van Gaal au Klopp natumaini hata hao senior players watamuheshimu.
 
waache hao wanaosema sijui angepewa muda zaidi sijui hawajafanya poa sijui dhambi ya kumfukuza itatutafuna sijui hatutopata kocha bora kama saf sisi kwanza tujipongeze kwa huyu lofa kutimuliwa then mengine yatafuata

Mkuu achana nao kwanza nashangaa mashabiki wa Arsenal ndio wako mbele kumtetea Moyes..poor them walifikiri nao watapata mtelemko kama wengine...
Sasa mjadala wa #moyesout #wrongone #stupidone ushafungwa sasa wapenzi na tunaoitakia mema timu yetu pendwa Man U tunaamishia akili za kumpata Van Gal..huyu bwana anauwezo hata wa kuwafanya waremavu wapige chenga achana kabisa na mduch huyu..
Glory Glory Man U
Mdengereko ndugu yangu sina jinsi ila nilitamani tungepata wasaa leo kusherekea ushindi wetu huu...maana hili vugu vugu na sala zetu tumezianza zamani sana..ilikua ni kazi sana kumfanya Inzi atuelewe tulipokua tunasema Moyes hafai kaprove failure in every aspect uwanjani na in dressing rooms...
Stupid #thewrongone na atuombe msamaha
 
we unajua moyes alimtaka mchezaji gani?? Kila mchezaji alikuwa anamtaka yeye mara gundogan,mara herrera mara fab,mara thiago mara yule dogo wa roma na yule mchezaji wa inter mara kroos,mara fellaini na baines kwa kuto jumlya ya pound m 28 kwa wote wawili sasa hapo utasema kocha anajielewa?? Kwa kifupi alikuwa hajui anamtaka nani alikuwa anabahatisha unakumbuka fergie alivyofanya kwa berbatov airport??? Koca inabidi uwe na top target yako sio kubahatisha bahatisha. Wachezaji fellaini ilikuwa thamani yake ya kuuzwa inapanda ikifika agosti 22 na moyes ndio aliomsainisha na alikuwa anajua fika ajabu akaja kumsajili tarehe 2 september kwa gharama kubwa bila ya sababu wakati angemsajili kabla ya tarehe 22 gharama yake ingekuwa chini a pound m 24 sasa kama alikuwa analijua hilo kwanini asingemsajili kabala fellaini ndo maana nakwambia alimsajili kwa kupanick thats ya nasema kocha alikuwa hajielewi ndo maana hata kuongoza senior players kwake ilikuwa kazi.

Moyes ametimuliwa kwa timu kufanya vibaya na sio kushindwa kusajili wachezaji kumbuka hata SAF alishindwa kuwasajili Shearer,Hazard,Moura,Baines, Roben,Gaucho
tatizo ni kwamba alipewa timu wakati mbaya hata angekuja kocha gani angechemsha but Moyes alichemka zaidi tofauti na management ilivyotegemea

In short SAF ndio mtu wa kulaumiwa kwenye hii issue ya Moyes
 
hata Moyes aliwachagua akina Giggs na Neville yeye mwenyewe na akawatimua backroom staff wote aliowaacha Sir Alex kitu ambacho wataalam wengi wa soka walimshangaa.

Inatakiwa aje kocha mwenye personality na reputation kubwa kama Van Gaal au Klopp natumaini hata hao senior players watamuheshimu.

The Chosen One walichagua hao possibly under undue influence ya wao kuwa wachezaji wa zamani wa Man Utd.

Personally, I would have preferred yule msaidizi wa Ferguson abakie pale ili amsaidie the Chosen One.

Lakini nasikia nae aliaamua kuondoka sijui kwa vile may be Faggie hakumpendekeza kuchukua nafasi yake.

Anatakiwa aje manager ambaye anaweza ku-impose his authority on the club, ikiwa ni pamoja na kuwatimia all those trusted but average players bila kuwaonea haya.

Want to see kitchen sinks being thrown at under-performers. lol.

[video=youtube_share;mDCXn7tNZLE]http://youtu.be/mDCXn7tNZLE[/video]
 
Moyes ametimuliwa kwa timu kufanya vibaya na sio kushindwa kusajili wachezaji kumbuka hata SAF alishindwa kuwasajili Shearer,Hazard,Moura,Baines, Roben,Gaucho
tatizo ni kwamba alipewa timu wakati mbaya hata angekuja kocha gani angechemsha but Moyes alichemka zaidi tofauti na management ilivyotegemea

In short SAF ndio mtu wa kulaumiwa kwenye hii issue ya Moyes

......umeanza vizuri kisha umeharibu hapo unapomlaumu SAF,....

Nyie si mmelikataa chaguo lake? Time will tell....

#MosKwito !
 
natumaini umekosea maanake turn over ndio yaweza kuwa 300m ila HASARA YA 300M MANU UTD!!!??? SASA HIVI WANGEKUWA UNDER ADMINSTRATION.....

Utaangalia ktk wavuti ya habari ya kwenu ktk miezi hiyo ya November na December hiyo habari ilikuwepo! Sasa hapo sijui km ntakua nimekosea?
 
......umeanza vizuri kisha umeharibu hapo unapomlaumu SAF,....

Nyie si mmelikataa chaguo lake? Time will tell....

#MosKwito !

SAF anastahili lawama kwenye,kuna wachezaji wengi walipaswa kuondolewa mapema (Rio,Evra,Giggs,Rooney,Nani,Anderson) hawa wachezaji wamechangia sana kumwangusha Moyes.SAF alikuwa haogopi mchezaji kama angekuwepo hata Rooney angekuwa ameshauzwa
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Manager haishii kwenye kusimama kwenye touchline na kupiga kelele kazi ya manager inaenda mpaka kuandaa wachezaji kisaikolojia, nakubaliana na baadhi ya mtazamo wako lakini sikuabaliani na the facty kwamba hata angekuja manager gani angechemka, no mkuu ni swala la mbinu tu na kuwandaa wachezaji na wachezaji kuzipokea mbinu zako.
sikatai man u inamapungufu ndani ya kikosi lakini kiasi hicho mpaka ionekane ni timu ya kufa tu.
Chukua mfano mdogo wa Everton, Moyes kwa miaka 11 kaijenge timu hiyo ila miaka yote kaifanya timu hiwe na malengo ya chini tu yahani kuwa mid table timu, ila alipopewa Martinez ka transfer ile mentality ya Moyes na leo hii tunawaona hao hao wachezaji wa kawaida wa Everton wanacheza kiushindani kutafuta nafasi ya nne kwenye ligi, hapo utaona kuna kitu martinez kaongeza kwa wachezaji maana timu ni hile hile.
kinachotusikitisha kwa Moyes ni kwamba kwanza alipewa timu mapema sana alikua na wajibu wa kuona mapungufu mapema ila ye akaamua kustick na kikosi kile kile, pili msimu mzima kakosa kikosi cha kwanza na hata wale aliyowasajili dirisha dogo wameshindwa bring any changes ndani ya timu. Swali la kujiuliza pamoja na mapungufu yeto yanayosemwa juu ya kikosi cha Man U NI NINI HASWA ALICHOONGEZA MOYES...???
 
Some see this coming, watu wakadai eti kuna the so called "United Way".

Kwamba hawafukuzi makocha kama klabu nyingine.

Hata Liverpool walikuwa na so called "Liverpool Way" lakini wakaiacha long time ago.

Kwa kipindi hiki ambacho soka limekuwa la kibiashara zaidi, only results on the pitch matter, not the club's traditions.

Just imagine katika msimu huu tuu nusu ya klabu za Premiership zimebadilisha makocha.

Now tell me what is so special with Man Utd wasimtimue kocha ambaye anaipeleka timu down badala ya juu?

Kwani wao siyo wafanya biashara? Business wise, the Chosen One has already made the damage, at least for this season.

Mie naona tena wamechelewa sana kumtimua the Chosen One; have they done earlier labda bado wangekuwa kwenye Champions League semi finals.

Manchester United is not Everton. Man Utd is more than a football club. But the Chosen One has only the experience of managing a football club, not an institution.
Hahahaha mkuu EMT, tatizo Man U wanasoma sana dictionary afu wanaipeleka uwanjani.

NEW WORD IN THE DICTIONARY:

MOYES - /ˈmɒyɪs//
Noun/
1 (C) an unexpected event leading to failure.
2 (C) /informal/ a complete failure.

Examples:
1. His efforts to pass the exam ends in Moyes.
2. The last presidential election recorded massive rigging and was declared a Moyes
 
Kwa Wenger inaweza kuwa ngumu kidogo b'se shareholders wanapata returns nzuri sana kifedha kwa yeye kuendelea kuwepo pale.

Wanaoumia kila msimu ni mashabiki wa Arsenal and they seem to have accepted this.

They are used to failures every season na sidhani kuna Man Utd supporter would buy that for the sake of keeping the Chosen One at the club.

99.99% per cent of Man Utd supporters watakubaliana na uamuzi wa kumfukuza the Chosen One hata kimoyo moyo.

I bet this must be the happiest man in the City of Manchester.

[video=youtube_share;zy8LdGQt_6Y]http://youtu.be/zy8LdGQt_6Y[/video]

Huyu jamaa anaongea point mpaka zinachoma moyo aisse kuna watu wanaipenda Man united dah...serious Moyes kama anatembelea Youtube afu akamsikia huyu jamaa atasema for sure he was supposed to depart from the team mapemaa...dah
 
Manager haishii kwenye kusimama kwenye touchline na kupiga kelele kazi ya manager inaenda mpaka kuandaa wachezaji kisaikolojia, nakubaliana na baadhi ya mtazamo wako lakini sikuabaliani na the facty kwamba hata angekuja manager gani angechemka, no mkuu ni swala la mbinu tu na kuwandaa wachezaji na wachezaji kuzipokea mbinu zako.
sikatai man u inamapungufu ndani ya kikosi lakini kiasi hicho mpaka ionekane ni timu ya kufa tu.
Chukua mfano mdogo wa Everton, Moyes kwa miaka 11 kaijenge timu hiyo ila miaka yote kaifanya timu hiwe na malengo ya chini tu yahani kuwa mid table timu, ila alipopewa Martinez ka transfer ile mentality ya Moyes na leo hii tunawaona hao hao wachezaji wa kawaida wa Everton wanacheza kiushindani kutafuta nafasi ya nne kwenye ligi, hapo utaona kuna kitu martinez kaongeza kwa wachezaji maana timu ni hile hile.
kinachotusikitisha kwa Moyes ni kwamba kwanza alipewa timu mapema sana alikua na wajibu wa kuona mapungufu mapema ila ye akaamua kustick na kikosi kile kile, pili msimu mzima kakosa kikosi cha kwanza na hata wale aliyowasajili dirisha dogo wameshindwa bring any changes ndani ya timu. Swali la kujiuliza pamoja na mapungufu yeto yanayosemwa juu ya kikosi cha Man U NI NINI HASWA ALICHOONGEZA MOYES...???

Siku zote kocha akikaa na timu muda mrefu akipata mafanikio akija kuondoka timu inapata shida sana

AC Milan since ameondoka Anceloti bado wanastruggle Barca since Pep ameondoka now wana struggle hata Klopp akiondoka BVB watapata tabu sana
SAF anaijua sana hiyo timu hata akirudishwa anaweza chukua ubingwa na timu hiyohiyo.Tatizo la ManUnited sio kuleta kocha mpya tu bali kumsaidia na kumwandalia
mazingira kuondoka kwa SAF,staff coach na David Gill kwa pamoja it was big loss

Nakubali ilikuwa sahihi kumfukuza Moyes pamoja na kukaa msimu mzima sijaona kama kuna kitu ambacho ameongeza kwenye timu na ameshindwa ku-motivate wachezaji
 
Back
Top Bottom