Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
kama alikuwa na power ya kutimua benchi la ufundi lote kwa nini asiwe na power ya kuwongoza hao player by the way yeye ndo aliyetaka evra aendelee kubaki na yeye ndo aliyempa nani mkataba mpya wa iezi sita wakati hajamtumia na rio alikula benchii za kutosha kipindi chake pamoja na giggs sasa iweje ashindwe kuwaongoza wachezaji ambapo utawala wote upo chini yake huyu ameboronga,everton kuiongoza kwa miaka 11 ni kwa sababu hakuwa na perssur man u kuna pressure ni klabu kubwa ile,ndo maana anashindwa kuimudu akisahkuwa na wachezaji 15 ambao wote anaweza kucheza first eleven anababaika hajui amtyumie yupi na kwa wakati gani??.....#StupidOne ee?,.....for 11yrs he built that Everton FC to be the force they are today,
don't be deceived na Mercenaries mina LUKAKU, Gareth BERRY etc,....
miezi tisa mliyompa sio kigezo cha msingi kuongoza MAN UNITED hii ya kina Evra, Rio, Van Persie
na wengineo wanaojiona wataongozwaje na DM....
incase kama hujuitoka moyes kachukua klabu hajawahi hata siku moja kuchezesha kikosi kimoja (first 11) sawasawa katika mechi mbil mfululizo sasa niambie wewe ueona wapi kocha hachezeshi kikosi kimoja walau katika mechi mbili mfululizo hiyo inpelekea wachezaji kutkuelewana na kuwa na consistency