mwanadodoma
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 478
- 993
mnagongwa na wanga nyie nyumbu,mlaaniwe milele
Kile kimsemo kwamba wanasajili wachezaji ambao wana mapenzi na timu ni uongo ila ukweli uko kwenye bei ya wachezaji wanaowaleta. Una LB Dorgu amenunuliwa toka Lecce kwa dola milioni 2 tu unategemea akupe nini upande ule? Una shida kwenye kiungo unamleta Santos ambaye ni drop out ya Chelsea na Tielmann maji ya jioni kabisa waka revive engine ya timu kweli? Bruno ana miaka 32 sasa, anachezeshwa kila mechi na ndiye tegemeo pekee katika ubunifu wa timu.INEOS hawana kichaka sasa cha kujifichia kmmke, licha ya ubovu wa Carrick lakini INEOS kuchukua hii timu ni laana nyingine kabisa, in short ni kwamba United imekwenda kuwa the likes of zilipendwa, hakuna Usajili wowote timu iliyofanya...
Omar Berrada na Jason Wilcox waachie timu maana ni aibu na takataka tupu inayoonekana...
INEOS hawajui wanachokitaka, Yani wanategemea Carrick awavushe wakati Carrick naye anajifunza kazi so inabidi apewe muda kidogo sasa unapoleta profile za wachezaji wasioeleweka kazi ndio inakuwa ngumu Sana, ni kweli Kocha ana Makosa Yake but makocha wataendelea kutolewa kafara Hadi lini wakati management ipo ipo Tu, Management lazima iwe very clear na sio kutoa matuamini hewa....Kile kimsemo kwamba wanasajili wachezaji ambao wana mapenzi na timu ni uongo ila ukweli uko kwenye bei ya wachezaji wanaowaleta. Una LB Dorgu amenunuliwa toka Lecce kwa dola milioni 2 tu unategemea akupe nini upande ule? Una shida kwenye kiungo unamleta Santos ambaye ni drop out ya Chelsea na Tielmann maji ya jioni kabisa waka revive engine ya timu kweli? Bruno ana miaka 32 sasa, anachezeshwa kila mechi na ndiye tegemeo pekee katika ubunifu wa timu.
Msimu huu sidhani hata kama namba yetu pendwa 6 tutaipata
Kinachotuua United kimeendelea kuwepo miaka na miaka, INEOS na fuckin GLAZERS.
Sio kwamba United walikosa hela ya kusajili elite players.Man City wamefanya usajili wa 526 million.
Man United wamefanya usajili wa 155 million.
Ukweli mchungu wamiliki wa United wameguangusha sana mashabiki wa United.
Uwekezaji wa United mdogo sana ukilinganisha Spurs,Arsenal,City.........
Tunaweza kumlaumu Carrick lakini kwa uwekezaji huu sioni tukimakiza hata nafasi ya 5.
Exactly huyu Carrick anaendelea kujifunza taratibu, Makosa lazima afanye hakuna namna, kinachohitajika ni kumpa wachezaji wenye profile sahihi na sio kumrundikia mizigo isiyoeleweka...Njia pekee ya Manchester united kurudi kwenye mstari and i can guarantee zaidi ya 80% ni kumuacha Michael Carick aendelee kuwa kocha kwa misimu walau miwili mitatu, hii itamsaidia sana kocha kutengeneza na ku~implement falsafa nzuri ya timu.
Otherwise itakuwa ni ingia toka ya makocha bila mafanikio.
Mfano mzuri Arteta alipewa timu kwa muda mrefu na leo hii sote tunaona mwenendo wa timu