Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilisema kabla Dirisha halijafungwa kuwa hatuna Timu wengine mkatetea timu ipo naomba mtuonyeshe wachezaji wakwenda kucheza Klabu bingwa huyu Tielemans naona anatukaba tu Mungu Tusaidie, kuna muda ninawaza kama kuna uwezekano tukate rufaa tuwape Chelsea nafasi yetu klabu bingwa kabla Kipigo hakijaanza kutolewa tunaenda kuaibika sio siri.
 
Back
Top Bottom