fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,491
- 10,113
Wakuu King faisal NtYga christeve88 min -me Bagabeach na wengineo wote tunaoendelea na mjadala kuhusu soko la usajili msimu huu nimekubaliana na michango yenu hasa jinsi United wanavyokabiliana sokoni.
Tulipoamua kuijenga United kutokea chini, tulianza na uongozi wa watu wenye maono ya mpira kulingana na rekodi zao. Lakini bado tumekuwa na tatizo la kujivuta sana kufanya maamuzi tunapohitajika kusajili kwa wakati. Je, Tatizo liko kwa mtoa pesa ambaye ni INEOS, scouting team inachelewesha kuchagua targets au ndio bado hatuna mvuto kwa wachezaji walio kwenye viwango vya juu kwa sasa?
Pep na City yake walikuwa hawaleti wachezaji wa gharama kubwa sana mara nyingi, ila walikuwa wanalivamia soko haraka sana wanakamilisha tagets zao ndio wanaenda mapumzikoni wakiwa wameishafunga soko la usajili. Ila kwa Utd huwa tunapambana sokoni hadi August 31 saa 5:59 usiku.