Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naskia Kuna mchezaji wa Brazil kasajiliwa United lkn toka world cup ianze sjaona akipewa hata dkk 😆😆
inamaana tuliesajali anauwezo mdogo had anazidiwa na babu casemiro? Au guameres

Kazi ipo
Jana umemuonaje anafaa?..? tumsajili?..?
 
Screenshot_20260709-023517.jpg

Ningeshangaa sana kama ningemuona Tchouamen katua OT baada ya kukubari Paycut kwenye mshahara wake hivi kweli unawezaje kujifikilia hata kwa Dakika mbili umpunguzie mshahara Tchouamen anayepokea 210k kwa wiki huku tunae mchezaji fara tu kama Mason Mount anachukua £250k per week hata kama ni wewe ungeweza?..? Kwa ushawishi gani tuliokuwa nao Man u?..? kwa Kombe gani kubwa tulilobeba Recently?..? ety ni Target yetu sema shida ni moja kataki kupunguza mshahara wake yani kwa mafanikio yapi tulopata mpaka Bwana mdogo atoke zake Real Madrid aje kutua Man u ambapo huko atokako kila mechi anacheza hawa INEOS mtakuja kuniambia tu wako na shida sana yani hata kama ange Demand wage ya £245k wangetoa tu.

Sasa hivi wameleta Andrey Santos dogo tokea Benchi bila aibu wanamleta kwa Pauni £50m na muda huo kuna mtu kama Bruno G anathamani ya £65m -£60m hivi hizi ni akili kweli?..?

Na kuna interview moja nimeiona Boss mwembamba Jimmy akiporomosha nondo akidai kuwa Toka astaafu Ferguson kumekuwa na matumizi mabaya sana kwenye usajiri na kuliletwa watu ambao hata hawakufaa kuchezea Man united mfano Fred lakini naona Andrey huenda nae akawa Fred ajae,mie nachoka ndugu yenu na hii Timu.
 
View attachment 3625439

Sio pouwah mkuu ila mda utaongea.
 
Kusema kweli tulitakiwa kumuacha Amorin afanye sajili za msingi ndipo tumtimue kama tuliona hatufai kama manager wa United. Kinachoonekana ni Carrick anaburuzwa tu kwenye soko la usajili.
Tumuuze yule Mount basi tupate hata chenji ya kumnunulia back up midfielder.

Deal ya Ederson nayo inaota mbawa, nadhani ndio maana wamewahi kutupooza na Santos.
 
Mie nimeona Nikae kimya maana hawa ineos wanazo sababu nyingi za kujitetea kwa sasa hivyo ngoja EPL na UEFA ianze ili tuwahukumu vizuri.
 
Manjesta yanited mpo nyie matapeli

Flano upo wapi ?

Migosi washawafanyia utapeli

Kwasasa hamna ushawishi wala pesa

Hadi Spurs anawazidi kete
 
Mchezaji kama Michael olise kipindi yupo Palace tulikua tuna nafasi ya kumpata kwa hela kiduchu, tuka zingua , kina godon na wengine kibao tu
Wakati mwingine huwa nahisi aidha hatua scouting team au sio wazuri kuibua vipaji toka mchangani. Wanataka ready made tu. Ndio maana walichambua wachezaji 803 ili kumpata Wanbisaka kama rightback mwenye ubora wa kipekee lakini uliona kichekesho kile Cc King faisal
 
Naona tatizo ni pesa mingi , kipindi cha amorim alimtaka nuno mendez ila bei ilikua imechangamka , wakahamia kwa Patrick dorgu kwa bei ya chini , halafu kuna ka namna yule Amorim alikua na jicho la wachezaji wenye vipaji
 
Msimu huu tujishikilie tena maana Arteta, Alonso, Maresca na Liverkuu wanaimarisha vikosi vyao wakati sisi kila kukicha tetesi zisizoisha
 
Wakati mwingine huwa nahisi aidha hatua scouting team au sio wazuri kuibua vipaji toka mchangani. Wanataka ready made tu. Ndio maana walichambua wachezaji 803 ili kumpata Wanbisaka kama rightback mwenye ubora wa kipekee lakini uliona kichekesho kile Cc King faisal
fuentte Kuna wachezaji wengi uongozi ulizembea kuwachukua mapema kama erling Holland,caicedo na Bellingham. Licha ya ole kuwasisitizia uongozi haukuwa seriously. Na Leo hawa wachezaji ndio wanafanya vizuri naona ineos kwa kupitia Christopher vivel wameanza kuwa makini kwenye kutafuta vipaji kama huyo dogo mkolombia waliemsajili. Bisaka yule mie naona walimchukua kwa ajili ya kufanya tackling.😁
 
Back
Top Bottom