min -me Bagabeach fuentte Mr Mike nimejaribu kumfatilia kidogo huyu Manu Koné. Kinacho niogopesha ni kuwa na historia ya kupata injury sana. Kingine style ya uchezaji wake kwenye ligi ya series A(Italy) akija EPL labda kama Carrick atamfanya awe hatari lakini tofauti na hivyo sijui kwakweli.
Kufanya vizuri World Cup akiwa na France ni tofauti na kwenye Ligi ya EPL ambayo ni ngumu sana.
Lakini sijamaanisha kwamba ni mbovu au hafai huenda uongozi kuna kitu wameona kutoka kwake. Lakini kwangu mie naona mamadou sangare na baleba ndio wanaofaa. Nipo tayari kukosolewa kwa mawazo yangu.