Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapo kama rashford,ugarte, na zirkee wakiuzwa, pia nimesikia fernabache wanataka kumnunua mason greenwood na hapo pia kuna share ya Manchester United, hivyo 100m itaongezeka na pia tunaweza kupata angalau beki ya kushoto na stricker.
Barca dharau nyingi sana wanashindwa kumbeba Bwana mdogo kwa Euro 30m
 
Mkuu mchezaji wetu haendani na falsafa ya Barcelona..
Kwa umri wangu, wachezaji wa England ambao wangeweza kucheza Barcelona Kuna
Michael Carrick
Ashley Cole
Rio Ferdinand
Kayle Walker
Wayne Rooney
James Madison (asiyeumia)
Jack Wilshere(asiyeumia)
John Stones
Na wengine wa aina hiyo..
Rash kipaji ni Cha kawaida kabisa..Aliitaka Barcelona kulko ilivyomtaka..sasa wamepata mtu wao Rash aende kwengineko
 
Barca dharau nyingi sana wanashindwa kumbeba Bwana mdogo kwa Euro 30m
Kitendo cha kumchukua Gordon wakati una Rashford ilikuwa ni ishara kwamba aidha hawajaridhika na utendaji wa Rashford au hafai kwenye mfumo wa tiktak wanauopemdelea Barca.
Kiasi flani suala la mshahara linaweza kuwa kikwazo kingine dili lake kutokuwa sawa pale.
 
Nini kitampata akipunguza mshahara. Lakini kwa raphina na Gordon huenda asipate kabisa game time za kutosha.
Mkuu King faisal kama bado unakumbukumbu sawa, binafsi simkubali Rashford kama winga wala Striker. Sababu moja kubwa ni kuwa jamaa hana skills nyingi hasa 1v1, ana mbio nzuri na anaweza kujiposition vizuri ila end product yake ni mbovu sana, uvivu au shibe ya mafanikio tayari anayo hivyo hatutegemei Rashford kuongeza jambo kubwa chanya pale manchester.

Kuna kipindi hadi nikawa najiuliza kwanini Son anacheza Spurs (msinambie habari ya bei), Mitoma anacheza Brighton halafu kwetu yupo Rashford.
 
Mkuu mchezaji wetu haendani na falsafa ya Barcelona..
Kwa umri wangu, wachezaji wa England ambao wangeweza kucheza Barcelona Kuna
Michael Carrick
Ashley Cole
Rio Ferdinand
Kayle Walker
Wayne Rooney
James Madison (asiyeumia)
Jack Wilshere(asiyeumia)
John Stones
Na wengine wa aina hiyo..
Rash kipaji ni Cha kawaida kabisa..Aliitaka Barcelona kulko ilivyomtaka..sasa wamepata mtu wao Rash aende kwengineko
Mkuu umemaliza kabisa, Rashford hana kipaji cha kuichezea Barca wala timu nyingine kubwa tofauti na United inayoendekeza Uingereza kwenye sajili
 
Mkuu King faisal kama bado unakumbukumbu sawa, binafsi simkubali Rashford kama winga wala Striker. Sababu moja kubwa ni kuwa jamaa hana skills nyingi hasa 1v1, ana mbio nzuri na anaweza kujiposition vizuri ila end product yake ni mbovu sana, uvivu au shibe ya mafanikio tayari anayo hivyo hatutegemei Rashford kuongeza jambo kubwa chanya pale manchester.

Kuna kipindi hadi nikawa najiuliza kwanini Son anacheza Spurs (msinambie habari ya bei), Mitoma anacheza Brighton halafu kwetu yupo Rashford.
Mkuu unachosema ni kweli kabisa rashford, anakupa furaha ya mda mfupi sana, alafu anakukela vibaya sana. Mie naomba tu Barcelona, au hata saudia wamchukue. Hua napenda sana kauli ya Luis enrique wa psg kwamba ni bora uwe na mchezaji hata kama hafungi lakini Anakuwa na mchango mkubwa sana kwenye timu.
 
Mkuu umemaliza kabisa, Rashford hana kipaji cha kuichezea Barca wala timu nyingine kubwa tofauti na United inayoendekeza Uingereza kwenye sajili

Huu ndio uhalisia Mkuu..
Rash ni wa kawaida, na hawezi tusaidia chochote katika mpira wa kisasa..

Walau bwana Mbappe, skills zipo, na katika nafasi 2 Moja atafunga, iwe katika siku yake nzuri ama mbaya.. Rash amesharidhika kabisa na hatua aliyofikia..

Mshale wake katika Soka inaelekea chini kwa sasa..

Tusimseme vibaya, tuamtakia Kheri katika timu mpya atakayopata..kwa Utd sidhani kama atakubali kurejea..nao walishaonekana kutokumtaka..
 
Kitendo cha kumchukua Gordon wakati una Rashford ilikuwa ni ishara kwamba aidha hawajaridhika na utendaji wa Rashford au hafai kwenye mfumo wa tiktak wanauopemdelea Barca.
Kiasi flani suala la mshahara linaweza kuwa kikwazo kingine dili lake kutokuwa sawa pale.
Dogo kanuna kafuta kwenye Bio neno Barca 😄😄 si aliitaka Barca acha wamwonyeshe Radha ya usaliti ikoje.
 
Dogo kanuna kafuta kwenye Bio neno Barca 😄😄 si aliitaka Barca acha wamwonyeshe Radha ya usaliti ikoje.
Kusema kweli sala zangu ni barca wafanikiwe kumbakisha hata kwa mkopo tena ili asipate nafasi ya kurudi Utd.
Maana kwa Uingereza wake pale kwetu watamchukulia wa thamani sana halafu atatuvurugia timu iliyoanza kutengemaa.
 
Wachezaji ni binadamu pia, Kuna nyakati wanaongozwa na hisia kulko uhalisia.. Barcelona ijayo hata nafasi ya benchi ni mara chache..bado wameonesha wazi hawamtaki..

Ningekuwa yeye, kama taarifa za Bayern ni za kweli, ningeenda ujerumani..

Uwezo wa Marcus bado ni mkubwa ila sio kwa timu zinazojitafuta kama utd..
Ni mahali ambapo hupaswi kukosea haswa kama una jina kubwa kama ilivyo yeye..

Nyumbani unapothaminiwa, wakishakuchoka kwa hulka/silka zako basi sio sehemu nzuri kuwepo..

Na hizi timu kubwa naona Zina upepo mbaya sana kushindana nazo..

Jadon
Pogba
Ni nyota ambazo zinazmima/zimezima kabisa kabla ya wakati..

Darasa Zuri lipo kwa Ousmane Dembele..
Nadhani alipata Deliverency😁
 
Kuna kila dalili ya mtu kuandaliwa ubingwa wa mezani
 
Attachments

  • skysports_14050329_124408070.jpg
    skysports_14050329_124408070.jpg
    267.9 KB · Views: 8
Ratiba nzuri sana..sijaona mwezi mgumu kwa timu yetu..
Pass Master, Fundi wa mpira ajiangushe na kutuangusha mashabiki zake..

Ruben aliamua kushikilia anachoamini hata wakati ambao mwenyewe aliona hayupo sahihi..

Kila la Kheri Manchester United 2016/27..

Natumai tutavaa jezi ya ubingwa🙏
 
Mkuu tuombe iwe hivyo maana arsenal kashatoa gundu la kutokubeba EPL kwa mda wa miaka 22. Sisi imepita miaka 13 sasa tokea tubebe kipindi cha babu ferguson 2012/2013.
 
Back
Top Bottom