Manchester United (Red Devils) | Special Thread

NtYga fuentte Mr Mike ze-dudu mateus Fernandes to Tottenham, here we go pound £85m waliyokua wanaitaka westham, with no adds on. pia mchezaji kulipwa pound £250k kwa wiki na pesa nyingine ya usajili pamoja na wakala wake. Sina mengi ila uongozi wa manunited, wanazingua sana. Leo siku nzima walikua wanafanya contact kwa mchezaji na wakala wake, ili iweje sasa. Nakama walikua hawataki,kutoa hiyo hela si wangemwacha tu.

Hapa ndio nimejua Ruben amorim, alikua sahihi kuhusu wamiliki wa united. Mchezaji hana msimamo, yeye anasema ataenda popote iwe man united au Tottenham. Na bado uongozi unaendelea kumshawishi, ni bora wangemtema kitambo tukaepusha hii dharau. Kama lengo ni baleba si wangesema tu. Dah ijapokua mateus Fernandes hana hiyo thamani lakini haikustahili tumpoteze kwa Tottenham ambaye alikua anaenda kushuka daraja.
Bora hata ingekua club nyingine kama psg au real Madrid.
 
Kaka sielewi ninajihisi nini kama ni Hasira ama huzuni maana naona kabisa furaha yenyewe sina kwa kilichotokea Leo sokoni bwana Mr Mike atakubariana na mimi tu kuwa INEOS wanaupuuzi kiasi ambacho itatuwia ugumu san Mashabiki wa Man U kuwasamehe ila acha tuone sisemi sana.
 
Kaka sio poa hii itakua all roads leads to baleba.😁
 
Ugarte ameumia
Casemiro ameondoka

Tumebaki na Mainoo + Bruno

Wamiliki wameshindwa kutoa 85 kwa Tonali ama Matheus, sasa watasajili nani?

Alex Scott jamaa wanataka 90
Tchoumeni 75 - 80
Baleba upepo ulishakata

Baadae Carrick aungushiwe zigo la lawama, tushukuru msimu jana Amorim alikua na ushawawishi kwa wachezaji tukawapata akina Cunha, Sesko, Mbeumo
 
NtYga fuentte Mr Mike ze-dudu mateus Fernandes to Tottenham, here we go pound £85m waliyokua wanaitaka westham, with no adds on. pia mchezaji kulipwa pound £250k kwa wiki na pesa nyingine ya usajili pamoja na wakala wake. Sina mengi ila uongozi wa manunited, wanazingua sana. Leo siku nzima walikua wanafanya contact kwa mchezaji na wakala wake, ili iweje sasa. Nakama walikua hawataki,kutoa hiyo hela si wangemwacha tu.

Hapa ndio nimejua Ruben amorim, alikua sahihi kuhusu wamiliki wa united. Mchezaji hana msimamo, yeye anasema ataenda popote iwe man united au Tottenham. Na bado uongozi unaendelea kumshawishi, ni bora wangemtema kitambo tukaepusha hii dharau. Kama lengo ni baleba si wangesema tu. Dah ijapokua mateus Fernandes hana hiyo thamani lakini haikustahili tumpoteze kwa Tottenham ambaye alikua anaenda kushuka daraja.
Bora hata ingekua club nyingine kama psg au real Madrid.
Hii club itatuua kwa msongo wa mawazo siku moja mkuu King faisal .
Man Utd inataka kuonekana kuwa ni klabu kubwa ila inataka kusajili kwa gharama za klabu ndogo. Ni sawa na mwanamke aliyekuwa na mvuto mbele ya wanaume ila baada ya muda kwenda bado anataka kutambulika kwa sifa zake za awali badala ya kuukubali ukweli na kubadilika kuendana na mazingira halisi.

Kwa sasa wachezaji hawaangalii legacy ya klabu ila mustakabali wa maisha yao. Sikatai kwamba jamaa wanataka kununua wachezaji kwa thamani yao halisi sokoni ila tukubali kuwa lazima tutumie pesa zaidi ili kurudisha ushindani uwanjani na mambo ya mvuto yatafuata mbele ya safari. Tuchague target zetu kwa usahihi ila suala la kumwaga pesa kwenye soko la usajili halikwepeki kwa sasa.
 
Kaka sielewi ninajihisi nini kama ni Hasira ama huzuni maana naona kabisa furaha yenyewe sina kwa kilichotokea Leo sokoni bwana Mr Mike atakubariana na mimi tu kuwa INEOS wanaupuuzi kiasi ambacho itatuwia ugumu san Mashabiki wa Man U kuwasamehe ila acha tuone sisemi sana.
Kama eneo la kiungo limeonyesha uhitaji wa wazi kabisa lakini bado tunajibana kutoa hela, beki wa pembeni si ndio itatakiwa tumuombee Dalot apandishe kiwango msimu ujao!
 
Hii club itatuua kwa msongo wa mawazo siku moja mkuu King faisal .
Man Utd inataka kuonekana kuwa ni klabu kubwa ila inataka kusajili kwa gharama za klabu ndogo. Ni sawa na mwanamke aliyekuwa na mvuto mbele ya wanaume ila baada ya muda kwenda bado anataka kutambulika kwa sifa zake za awali badala ya kuukubali ukweli na kubadilika kuendana na mazingira halisi.

Kwa sasa wachezaji hawaangalii legacy ya klabu ila mustakabali wa maisha yao. Sikatai kwamba jamaa wanataka kununua wachezaji kwa thamani yao halisi sokoni ila tukubali kuwa lazima tutumie pesa zaidi ili kurudisha ushindani uwanjani na mambo ya mvuto yatafuata mbele ya safari. Tuchague target zetu kwa usahihi ila suala la kumwaga pesa kwenye soko la usajili halikwepeki kwa sasa.
fuentte unachosema ni ukweli ila huenda uongozi wanajua wanachokifanya, lakini ni vizuri kwenye kiungo ukapata mchezaji quality, hata mmoja kutoka EPL . Huyo Tchouamen kama wanadhania atashusha mshahara, hilo uongozi wa united wasahau kabisa. Na kingine ni kwamba bado Madrid, wanasita kumuuza na ikitokea France 🇫🇷, akabeba hii world cup.

Perez anaweza asimuuze na kama ikitokea akataka kuuzwa basi ni 100m plus na zikitokea club kubwa nyingine zinamtaka napia ziko tayari kumpa mshahara anaotaka kwanini ajisumbue kuja united. Hapa ni kujilipua tu na kumchukua tonali au Scott ndio uangalie nje ya EPL kiungo wa 3.
 
Baleba naye anatia shaka kwa kiwango chake cha msimu uliopita. Imagine hadi sasa sijaona tetesi za usajili toka klabu kubwa kumtaka zaidi ya Man Utd yetu mbovu.
Ndio hivyo na Brighton wanataka 75m, hapa option iliyobaki ni kumchukua tonali au Scotti. Ndio uangali kiungo 1 nje ya EPL.
 
Kama eneo la kiungo limeonyesha uhitaji wa wazi kabisa lakini bado tunajibana kutoa hela, beki wa pembeni si ndio itatakiwa tumuombee Dalot apandishe kiwango msimu ujao!
Bora hata kidogo kwa dalot, beki ya kushoto ndio hitaji la kwanza muhimu. Na wanofiti ni Lewis hall kutoka newcastle ambapo kumtoa inahitajika pesa ya maana. Option ya pili ni maxi araujo kutoka sport lisbon nao wanasema hawana mpango wa kumuuza ila timu yoyote itakayomtaka iande kutoa kitita cha £100m. Hivyo mkuu bado naona giza mbele yetu.
 
Ndio hivyo na Brighton wanataka 75m, hapa option iliyobaki ni kumchukua tonali au Scotti. Ndio uangali kiungo 1 nje ya EPL.
Scott hauzwi kwa pesa kununulia andazi, yule bado dam changa, yule dogo wa lille mmoroko, labda akija na yule mido mfaransa wa real madrid angalau kutakuwa na balance. Man u hawezi toa pesa ya kumnunua tonali wala scott.
 
Ndio najua Bournemouth wamesema hawamuzi lakini ikitokea ofa nzuri kuanzia £80m plus wanaweza kumuuza hata huyo tonali bila £100m humpati. Hata Tchouamen amsahau maana hawezi kushusha mshahara na pia Madrid watataka pesa kubwa zaidi ikitokea France 🇫🇷 kabeba world cup.
 
Tonali anaenda spurs,scott bado haieleweki man u wanachungulia pochi, baleba amedrop man u, hawawezi kubet, yule dogo wa moroko, na ile mido madrid ndo karata ya mwisho ya utd otherwise wasahau kushindania ubingwa wa epl.
 
Kisa kuwakosa hao wachezaji ndio tushindwe kushindania ubingwa?? Una wazimu wew
 
Back
Top Bottom