Yuko sahihi. Bruno ananikumbusha sisi enzi zetu tuna Fabregas halafu washambuliaji wetu ni kina Adebayor. Bonge la mido ila mastraika wa nafasi kumi goli moja.Elewa neno OUR BOYS, OUR FORWARDS, OUR FRONTLINE ni dhahiri shahiri Robin Van Magori kawakataa kabisa Arsenal richa ya kutwaa Kombe siku si nyingi 😃😃 Man U Patamu Bwana.
View attachment 3595586View attachment 3595587
Kwa ninavyoona uongozi umeamua kucheza kamari ili kuondoa lawama kwa fanbaseWadau hivi Carrick kapewa timu jumla sababu ya uwezo wake, mapenzi yake kwa timu, ulejendari wake, uingereza wake au kama asante kwa kutuvusha salama au kuokoa nyuso za akina Glazers?
Maana yanaweza kurejea ya akina Sosha na tusiwe tumejifunza kutokana na makosa
Time will tell na hivi tunacheza hadi UEFA msimu ujao.Wadau hivi Carrick kapewa timu jumla sababu ya uwezo wake, mapenzi yake kwa timu, ulejendari wake, uingereza wake au kama asante kwa kutuvusha salama au kuokoa nyuso za akina Glazers?
Maana yanaweza kurejea ya akina Sosha na tusiwe tumejifunza kutokana na makosa
Solksher hakuwa kocha mbaya kwa utd alifit vizuri tu kilichomponza ni kuwakumbatia wavivu kama Pogba, Rashford, Sancho na Martial alishindwa kusoma alama za nyakati hii ilileta mgawanyiko kwenye timu. Ni kocha mjinga tu ndio anaweza kumuweka Cavan bench akamuanzisha Martial. Hili kwa Carick sijaliona kosa atakalo lifanya ni kumrudisha Rashford.Wadau hivi Carrick kapewa timu jumla sababu ya uwezo wake, mapenzi yake kwa timu, ulejendari wake, uingereza wake au kama asante kwa kutuvusha salama au kuokoa nyuso za akina Glazers?
Maana yanaweza kurejea ya akina Sosha na tusiwe tumejifunza kutokana na makosa
Hakuna kitu sipendi kama kubishana na mtu asiye na Facts kuna muda mpaka walimdhihaki Bruno Fernandes kwa kumlinganisha na Odegard ety Odegard Kiungo mchambuko, Lakini Game ya Juzi nilikuwa na Mwana Arsenal akakili kutoka moyoni kwamba "Kusema kweli hii Game ilimhitaji Bruno Fernandes"Mkuu NtYga kawapige nacho arsenal maana wanamuona Saka kama second to MESSI hivi, Na vile wamebeba ndoo huwezi kubishana nao bila mabandiko kama haya ukawashinda
Ilikuwa hivyo Pia kwa Thomas Tuchel kuchukua Ligi Ya Mabingwa Ulaya kupitia Sajiri za Lampard.Ila jamani amorin kuna kitu amekifanya, hata Carrick ameivusha timu kutokana na kuundo wa amorin.
Kwanza kuwaondoa wavivu na kuleta wapiganaji. Carrick anapaswa ajue anatembelea muundo wa amorin..kosa lake amorin kungangania mfumo mmoja
Anderson ni kujisumbua tu maana keshasema anataka mancity.Hili hata mimi nakubaliana na wewe maana kwa sasa wachambuzi wengi wanampigia chapuo Anderson au hata Wharton kuliko Baleba