verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,143
- 6,246
Vipi bosi mbona makasiriko? Hizo ni banters tu za hapa na paleHizi tabia huwezi waambia wanaume wenzako inaonesha una matatizo ya kisaikolojia. Utani wa kudhalilisha wanaume wenzio namna haufai kwakwel mpira ni fair na ushabiki unatakiwa uwe fair.