mager6
Senior Member
- Jul 5, 2025
- 181
- 283
arsenal sijawahi kuiona kama timu ya amaana ni taka taka.Arsenal player blocking the Goalkeeperš®
Football is ruined.View attachment 3561479
tuliwahi cheza nao enzi za kati ya dalali kumikumbatia(10hag) au Amorim wakawa wanajipanga kwa mbali nyuma mpira ukipigwa wanakuja kwa fujo halafu marefa wanaamgalia tu.
Yaani ikichukua premier title nitaanza kui betia