Hatugombani
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,155
- 822
inawezekana mkuu hakuna kinachoshiindikana kwa man u kama kweli wanataka mafanikio if they are willing to use up to pound m 50 kwa ajili ya usajili what is kuvunja mkataba wa kocha ambae ameiweka man u katika position ambayo ingechukua miaka almost mitano kuwepo hiyo position lakini yeye kaiweka just kwa one season??kaka kuuvunja mkataba wa miaka 5 si kazi ya Kitoto but yote kwa yote tusubirie tuone kama laweza kutokea.
kagawa kacheza chini ya kiwango na ilibidi atoke around dk ya 50 au half time pale moyes alichelewa kumtoa yaani timu ilikuwa inacheza chini ya morali mpk kipindi cha kwanza kinaisha hatuna shot on target very strange then rooneyy alikuwa anapiga iga mkrosi tu unnecesarily yaani alikuwa anacheza kiviivu sio rooney yule tuliyemzoea sijui kkwanini hakuamua kumtoa?poa naona welbek anaingia kuchukua nafasi ya kagawa, ona sasa sub za moyez
umeanza kurudia mambo yaleyale ambayo kial siku yashajadiliwa humu ndani man u aliyoichukua fergie tofauti na man u aliyoichukua moyes,nahisi sihtaji kukuelezea man u ya fergie ilikuwaje na man u ya moyes kaichukua timu iikiwaje!!! if you are realy sportsman you should understand this and accept the fact that moyes is empty set.It took Fergie 6 seasons before he started winning. You should give Mr Moyes a buffer time
Doesn't apply kwa kuwa umevaa koti la unazi...
Ninachosema ni kwamba kinachoendelea Everton, huwezi kumpa credits Moyes pia, kwani aliijenga timu, Martinez kaja kukamilisha project kwa kuongezea touches zake...
Ni sawa atakapokuja mrithi wa Wenger na kufanikiwa, halafu usahau jinsi Wenger alivyoweka misingi imara...of course, kocha huyo akifail lazima lawama ziwe kwake...
Nasubiri sana siku Wenger atakavyoondoka na goons mtakavyostruggle..
Siamini kama hii comment umeitoa weye...Utazoea tu mbona sie tupo just Lower your expectations you will be fine...
Pole mkuu...
Cc: Belo,@ARB mfarisayo Idimi mtotowamjini....
.......,.Duhhhhhhhh!!!!
Karibia wiki sasa hili jukwaa halijachangiwa, kunani?
Wacha1 Belo, Nzi, mfarisayo, Piere. Fm Balantanda, Wandugu Masanja, Mentor, Ntuzu....aaah jamani?! 😉
......View attachment 152510... Belo, ndio mafuriko hata simu huchaji tena?
Kazeni buti banaaa, itakuwa raha nanyi kuwaona mechi za alhamisi na jumapili.... europa!
#MosKwito !
Oh, really?! Naona unajifariji kama kawaida ya goons...msimu ulivyoanza hadi early March, goons walikuwa title pretenders, oopss, title contenders. Now, the priority is their usual title, #Top4
So, for 9 years, goons' priority has been top four? So, when are you starting to be title contenders? When will you have a competitive squad? Competitive squad under the same specialist in failure?
I bet if goons win FA cup, Wenger will renew his contract until death do them apart!
It took Fergie 6 seasons before he started winning. You should give Mr Moyes a buffer time
hehehe wanasema giza totoro ni ishara ya mapambazuko.
9 years yote bodi priority yao ilikuwa Top 4....sikuwa na expectations zozote za kuchukua ubingwa...km unaweza naomba ulete quotation yangu mkuu...Kuchallenge Tittle ilikuja by chance just like Looserfool walivyojikuta kwenye brink of Tittle wakati walikuwa na lengo la top 4....
Tusidanganyanye...miaka 9 yote Top 4 was our Target...We have never had a Competitive Squad....ningepata Matumaini tungesajili January...ila uliona yaliyotokea...
All in all mtazoea tu......
Mkuu...hakuna unazi wala "ukoroma"........maneno ni yako mwenyewe......unadai DM aliijenga Everton (sijui kwa miaka mingapi mpaka uiite project.....kama kweli ilikuwa project) na Martinez kaja kumalizia project "kwa kuongeza touches zake"........
sasa basi kw amlengo huo huo......turejee kwa ManU.....SAF kaiacha timu ni Mabingwa......I mean the EPL Champions.......tu assume SAF naye ilikuwa ni project....na akaimaliza successfully....DM kaja kuchukua a successfully project na matokeo yake tumeyaona.......sasa kwa kutumia theory yako.....DM kaweka touches zake timu imeanguka.....kwa hiyo hapo tumlaumu SAF?......
It is clear with no doubt.....DM has to go.......
kuna mtu mwingine analinganisha SAF alivyoikuta ManU wakati ule (tena wakati ule ndio ilikuwa ni project ya SAF kuipeleka ManU kwenye mafanikio) na hivi sasa alivyoikuta DM........hapo ni sawa na kulinganisha maisha ya dunia na yale ya kule mwezini/Mars.......
9 years yote bodi priority yao ilikuwa Top 4....sikuwa na expectations zozote za kuchukua ubingwa...km unaweza naomba ulete quotation yangu mkuu...Kuchallenge Tittle ilikuja by chance just like Looserfool walivyojikuta kwenye brink of Tittle wakati walikuwa na lengo la top 4....
Tusidanganyanye...miaka 9 yote Top 4 was our Target...We have never had a Competitive Squad....ningepata Matumaini tungesajili January...ila uliona yaliyotokea...
All in all mtazoea tu......
nynyi mapulu mnashindwa hata na crystal palace dah,kweli mumefulia mumebaki kujifariji,
Kumbe!! Kwa hiyo bodi ya goons ndiyo walivyosema hivyo?
Unajua kujifariji!! Anyway, siyo mbaya kujipa kile ulichosema, 'lower expectations'.
Kama ulikuwa hujui...They board were not Targeting anything more than a Top 4...Remember top four is like a trophy agenda? Lets wait and see if they will invest from next season...kwani wanadai sasa wanapesa za kumnunua yoyote...😀😀