Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii ndio utd ninayo ifahamu sasa workrate ya wachezaji ipo juu mno leo naona Brighton kila wakigusa mpira wanaweweseka maana wachezaji wa utd wanafika kwelikweli.

Tulifikia pabaya sana yaani utd ni yakutunishiwa msuli na Sancho, Rashford na Garnacho kweli? Naamini sasa walipo wanajuta kucheza na brand ya utd.
 
Niliwahi sema humu utd hatukuwahi kuwa na tatizo kubwa la kiungo wala beki, tatizo letu kubwa lilikuwa na goli kipa na wachezaji wavivu wavivu hasa washambuliaji na hawakuwa timu player kama Hamad, kwa sasa tunao wazee wa kazi kule mbele shughuli tunaiona.
 
Wale wazee wa kazi wanabalaa lao, unaweza tapika nyongo si kwa ule msako
 
Hii ndio utd ninayo ifahamu sasa workrate ya wachezaji ipo juu mno leo naona Brighton kila wakigusa mpira wanaweweseka maana wachezaji wa utd wanafika kwelikweli.

Tulifikia pabaya sana yaani utd ni yakutunishiwa msuli na Sancho, Rashford na Garnacho kweli? Naamini sasa walipo wanajuta kucheza na brand ya utd.
Watu walipiga kelele sana wakati madogo wanatolewa, lakin wale ni sehem ya tatizo. Walijikuta miungu watu

Look at united pale mbele sasa?
 
Kashinda nne kafungwa mbili

asante liverpool kwa kuturudisha kwenye mstari
 
Attachments

  • Screenshot_20251025_224938_FotMob.jpg
    Screenshot_20251025_224938_FotMob.jpg
    69.5 KB · Views: 16
Back
Top Bottom