Mjopho
Member
- Aug 21, 2025
- 50
- 85
Game zinajazo leta urabiri maana kuna watu wameanza kunenepa.
Game zinajazo leta urabiri maana kuna watu wameanza kunenepa.
Team ambazo zinawasumbua zinajulikana so msijipe matumaini makubwa eti kwasababu mmeifunga LiverpoolNext
Tumefurahi mwenyewe
Wew hukumuoteahLeo mumemuotea mvimba macho ukoo
Unajua kwanini mnaitwa ng;ombe fc?Nyie akili zenu ndogo sana ndio maana mkaitwa manyumbu nyingi hamtakiwi kabisa kuwaza big 4 hamna team ya kushika big 4;msidanyike na team kubwa mnazizifunga ni kwasababu mnakamia na mnaingia Kama underdo, team zinazowatoa jasho ni hizi za middle team na zinazoshuka daraja
Sisi sio manyumbu Kama nyie huwa mnaenda na upepo zaidiUnajua kwanini mnaitwa ng;ombe fc?
Nimeiangalia game.Leo mumemuotea mvimba macho ukoo
we si tulishakutandika?Sisi sio manyumbu Kama nyie huwa mnaenda na upepo zaidi
Red card ya mapema ndio ilileta utofauti bila hivyo hamna mpira wakutufungawe si tulishakutandika?
Tulia pemben kenge kabsaa
Hio red kwani kitu kigeni mpirani?Red card ya mapema ndio ilileta utofauti bila hivyo hamna mpira wakutufunga
Ametumika sanaKocha hataki kuamini kama Bruno anatakiwa kupumzishwa sasa. Sijui kama kuna mchezaji anapoteza mpira kizembe kama Bruno.
Tutakutana mechi ya pili ujue ulibebwa na bahatiHio red kwani kitu kigeni mpirani?
Mchezo wa mpira ni ukifanya makosa. Unaadhibiwa,
So hakuna cha kujitetea
Tutakutana mechi ya pili ujue ulibebwa na bahati
Ila wewe si unaizungumzia team yako tudeal hapoVipi game ulizofungwa na timu nyingne na wao wanabahati au ?😂😂