King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,988
Ila ruben hii mechi sesko anatakiwa kuanza
Leo mumemuotea mvimba macho ukooTimu ni mbovu kwa sasa na hata suruhu ya hilo tatizo haijulikani.
Tushabadili Makocha, wachezaji mpaka benchi la ufundi na uongozi kwa ujumla, lakini ngoma ngumu.
Kwakua sina uvumilivu ndio maana siangalii mezi za timu yangu.
Ila mimi ni United mwanzo mwisho.
Wew hukumuotea?Leo mumemuotea mvimba macho ukoo
Sisi tutimulamba na mupira tuliupigaWew hukumuotea?
Nyie akili zenu ndogo sana ndio maana mkaitwa manyumbu nyingi hamtakiwi kabisa kuwaza big 4 hamna team ya kushika big 4;msidanyike na team kubwa mnazizifunga ni kwasababu mnakamia na mnaingia Kama underdo, team zinazowatoa jasho ni hizi za middle team na zinazoshuka darajaEneo la goalkeeper tayari ni kama tumepata afadhali.
Kocha apate LWB na RWB hao kina dorgu Bado hawawezi kumpa anachokitaka kweny mfumo wake.
Kiungo tuboreshe msimu ujao tusimtegemee casemiro Wala Bruno, maino kocha amtafutie nafasi.
Tusajili na winger Moja.
Msimu huu tunaweza kumaliza top four Kwa sababu kikosi na kocha wote Wana growth and improvement rate pia tutasajili kiungo na LWB dirisha dogo la January.
Leo ni furaha, lakini nmegundua mfumo wetu Kwa msimu huu ambao Bado hatupo imara Bora tuwe tunacheza kama second team, mpizani tumuue Kwa quick counter attack na long balls