Naamini tunaelekea kuzuri sasa dalili zipo wazi.Hiyo timu imeanza kuonesha viashiri vyote kuwa itarudi yule omary Kuna kitu anakipanda united taratibu taratibu mwanzo wakati tajili anatoa speech zake nilikua namchukulia poa sana ila yule mzee ana vision sana na Moja kati ya speech zake Bora zaidi ni Ile wakati wanazindua project ya uwanja mpya wa old Trafford
Bado mojaa hujawekaMbeumo's low finish has put Man Utd three! Man Utd 3-0 Brighton
View attachment 3494438
View attachment 3494439
Bado mojaa hujaweka
Sio Kobaz huyo ?Mwamba kapunguza uzito haraka
Mmeanza kuota mapembe, trophy ipi tena🚨🗣️ Ruben Amorim: "Since the start of the season, the team has been playing much better than last season. We have different players, who are more suited to this type of football, but it's a big difference [to have the full week of training], because it's very difficult for every team playing in Europe. We felt it last season. It's a big advantage to have just one game a week and we have to take advantage of it."
Deliver that trophy coach. 👀🏆
Maaajabu ya Leicester city mkuu...usimudharau mtu anae pumuaMmeanza kuota mapembe, trophy ipi tena