Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eneo la goalkeeper tayari ni kama tumepata afadhali.

Kocha apate LWB na RWB hao kina dorgu Bado hawawezi kumpa anachokitaka kweny mfumo wake.

Kiungo tuboreshe msimu ujao tusimtegemee casemiro Wala Bruno, maino kocha amtafutie nafasi.
Tusajili na winger Moja.

Msimu huu tunaweza kumaliza top four Kwa sababu kikosi na kocha wote Wana growth and improvement rate pia tutasajili kiungo na LWB dirisha dogo la January.

Leo ni furaha, lakini nmegundua mfumo wetu Kwa msimu huu ambao Bado hatupo imara Bora tuwe tunacheza kama second team, mpizani tumuue Kwa quick counter attack na long balls
Nyie akili zenu ndogo sana ndio maana mkaitwa manyumbu nyingi hamtakiwi kabisa kuwaza big 4 hamna team ya kushika big 4;msidanyike na team kubwa mnazizifunga ni kwasababu mnakamia na mnaingia Kama underdo, team zinazowatoa jasho ni hizi za middle team na zinazoshuka daraja
 
Wale waliotoa ratiba humu jamaa kawaziba midomo kashinda game tatu kafungwa 2
 
Attachments

  • Screenshot_20251020_085204_FotMob.jpg
    Screenshot_20251020_085204_FotMob.jpg
    40.5 KB · Views: 18
Next
 
Attachments

  • Screenshot_20251020_085655_FotMob.jpg
    Screenshot_20251020_085655_FotMob.jpg
    49 KB · Views: 14
Nyie akili zenu ndogo sana ndio maana mkaitwa manyumbu nyingi hamtakiwi kabisa kuwaza big 4 hamna team ya kushika big 4;msidanyike na team kubwa mnazizifunga ni kwasababu mnakamia na mnaingia Kama underdo, team zinazowatoa jasho ni hizi za middle team na zinazoshuka daraja
Unajua kwanini mnaitwa ng;ombe fc?
 
Back
Top Bottom