Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,392
- 2,876
Utafanya nini.Sawa.
Tukutane tarehe 19.
Kocha la project amorin.
Na tuna project ya kuchukua EPL 2028.
hatuwezi kuwa na project afu tuwe na kiherehere Cha kufukuza makocha.
United tunatafuta midfield wazuri, na beki nzuri. Dirisha dogo na kubwa tutakuwa tushajaza hizi nafasi.
Na Bado tuna nafasi ya kumaliza top four.
Binafsi Kwa wakati huu hatubahatishi kucheza ni tunapanga kucheza