James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 2,108
- 3,883
Jana Hojlund kakiwasha huko
😂😂😂Mm sio muoga ,🤣🤣🤣 Daaahhh ila Masingeli una kelele mingi sana ndugu yangu, halafu ni muoga kama kunguru.
Kuna siku naangalia game ya nyumbu, pia nikaona ten hag ni bora sana kuliko huyu amorimHojlund >>>>>>>>>>>Mobutu Seseko
Na ndio kitu nataka twende huko mafichoni tukaanze mojaKuna siku naangalia game ya nyumbu, pia nikaona ten hag ni bora sana kuliko huyu amorim
1 ten hag = 15 amorim
Divide by 15 both sides
(Ten hag)÷15 = amorim
Hii timu inaweza kushuka daraja msimu huu
Na ndio kitu nataka twende huko mafichoni tukaanze moja

aHii timu imeshajifia kazi yake kuharibu vipaji vya makocha na wachezaji. Marcus Rashfold is now doing fine pale Barcelona.
Mzee tambi tambi (allypipi). Bora Leo hujatoa tabiri zako.Kikosi kakamavu shababi watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys leo tena kukiwasha.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁
Watu tulikua tunasubiri utabiriKikosi kakamavu shababi watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys leo tena kukiwasha.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha![]()
![]()

