ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,469
- 24,241
Achana nao mdau kila mtu anaropoka anachojisikiaSasa hiyo control room ameipoteza kwa wachezaji gani? Maana wachezaji karibia 50% wa kikosi cha kwanza ni wake!
Ni kama tunatafuta kafara nyingine baada ya Pogba, Rashy, Martial, Lingard, n.k.

️ 0 goals
0 assists
3 games