Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,963
Una uhakika ndiyo hawa waliopo sasa?Hao hao si ndio waliomsajili woghost na Anthony
Una uhakika ndiyo hawa waliopo sasa?Hao hao si ndio waliomsajili woghost na Anthony
Kwani umri wa Jackson hauruhusu mbona tunamuuza. Sisi tunamuuza Jackson sio kwamba amefanya vibaya kwasababu tunataka Bora zaidi na ndio maana tuka wasajili mastrikers wenye uwezo zaidi yake Joao Pedro na Delap na yeye akajipima akaona atakuwa chaguo la tatu ndio maana akaona Bora asepe.Dogba alianza Chelsea hata magoal 10 hajafikisha ila Jackson kaanza na goal 14 kitu ambacho sio kibaya kwa EPL but katika hizi goals 14 kapoteza chances nyingi hiki ndicho kinamuhukumu na kilichopelekea tusajiliBasi ndio tunazungumzia
Kamali, kwani wakati mnamsajili jackson si mlikuwa na matumaini atafanya vizuri then what?
Vipi sesko akija huku akafanya vizuri?
Kwasabab bado umri una ruhusu?
Tunarudi pale pale kila kitu ni kamali.
Nitoe mfano kwa Arsenal Technical director Team ikamuona Madueke na wakamsajili wewe Madueke unamuonaje? Nimeshindwa kuwatolea mfano kwenu kwasababu technical director Team ni mpyaSasa mkuu, kweli kabisa wewe unafahamu zaidi kuliko timu ya ufundi ya United? Wewe unatumia video vipi vya kitaktiki kusema hivyo? Unajua timu ya ufundi imeanza kumfuatilia Seśko toka lini? Yaani nikusikilize na kukuamini wewe kuliko timu ya ufundi ambayo ina rasilimali na muda wa kutosha wa kuskauti wachezaji.
Acha masikhara aiseee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna yule ngongoti wa Psg Donnarumma wiki ya pili sasa kagoma kula anataka asajiliwe Manchester, mpaka dakika hii sijui hata tunakwama wapi.pazia lishawekwa kiraka tayari kuwekwa langoni. Ngoja uone mkorea aje atuambie Nyokores atamuweka ngapi
Muda naona unakwenda hivi tutasajili kweli sajili mbili?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna yule ngongoti wa Psg Donnarumma wiki ya pili sasa kagoma kula anataka asajiliwe Manchester, mpaka dakika hii sijui hata tunakwama wapi.
Naona kamati ya usajili nguvu nyingi kwa sasa wanazielekeza kwa Baleba, wakishakamilisha dili la Baleba goli kipa la mikono 100 linatua Trafford.
Arsenyau na Nyokores wake washukuru sana tunacheza nao kabla ya hio miamba miwili haijatua Utd la sivyo tungewapeleka tena honeymoon ya zile goli 8.
Gyokeres ana 2+ goals kwenye hyo gamepazia lishawekwa kiraka tayari kuwekwa langoni. Ngoja uone mkorea aje atuambie Nyokores atamuweka ngapi
wahiyo tumekubaliana Madueke sio flop kama mlivyokuwa mnapiga makelele baada ya kuona dalili ya kuja kwenu?Tunataka tuwakute mpo full, hatutaki vizingizio
Haya chagueni wenyewe tuanze na mkanda namba ngapi hapa?
View attachment 3439279
Hapo mchezaji wa kumuogopa ni huyo myoruba(saka). Waliobaki ni takataka.Tunataka tuwakute mpo full, hatutaki vizingizio
Haya chagueni wenyewe tuanze na mkanda namba ngapi hapa?
View attachment 3439279
SawaManchester United wapo tayari kuvunja benki ili wamnasae BALEBA
Naona nguvu zote zimewekwa kwa baleba tu. Naomba tu Brighton wasitubanie ili tumalize haraka tutafute na kipa maana onana ameshakua pazia.Manchester United wapo tayari kuvunja benki ili wamnasae BALEBA
Kenge walikua wanamtumia vibaya maduekeK
wahiyo tumekubaliana Madueke sio flop kama mlivyokuwa mnapiga makelele baada ya kuona dalili ya kuja kwenu?
Jpili sio mbali. Viburi kama hivi ndio tunavitaka sanaHapo mchezaji wa kumuogopa ni huyo myoruba(saka). Waliobaki ni takataka.
Ukweli hata walivyomsajili hojlund n onana walikuwa wanajua wanachokifanya😁Technical director wanajua wanachokifanya.
Mchezaji ni kamali.