ukweli mchungu huu, Maiko Jackson angewafaa sana. Ben mwanseko ni kama Timo Werner tuHuyu sesko kamaliza ligi na goal 13 kwenye ligi nyepesi Kama ya bundesliga Halland alikuwa anapiga goal 30 huwezi kumfananisha na huyo Sesko Mimi nawaambia ukweli mnaleta ushabiki Sesko ni mchezaji wa kawaida ni Bora mngemchukua Jackson angewaoffer vitu ni mchezaji ambaye tayari ameshacheza ligi ngumu hii ya EPL naametupia goal 14 na assist 6, magoal 14 ya EPL yanathamini kulingana na ubora wa ligi kuliko magoal 13 ya Sesko

...Kuna Werner jumla ya goli alizofunga bundelsiga n zaidi ya 60..alivyokuja epl Sasa