Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,963
Bruno anacheza out of positionPale kati hakuna kitu atleast maino alivoingia.
Baleba mleteni tu.
Hawa akina casement na bruno wake kwenye hio cm ni uongoooo
Bruno anacheza out of positionPale kati hakuna kitu atleast maino alivoingia.
Baleba mleteni tu.
Hawa akina casement na bruno wake kwenye hio cm ni uongoooo
Mimi naongelea kimpira si kimapenzi we umeona nimemuongelea vibaya Gyogerez kwenye ile game yake ya Kwanza alivyocheza ni kwasababu Kuna daraja kalitengeneza ndio maana ilikuwa ni mapema kumkosoa Sasa huyo Sesko ni daraja lipi kalitengeneza lakufanya uwe na matumaini naye makubwa ndipo ambapo ninawashangaa mashabiki wa man uSi furaha kwenu, ama?
Sterling akacheze wapi huyo mzee?Nani akupe 50M kwa Garnacho? Hapo ni Butter trade Sterling na Garnacho.
Technical director wanajua wanachokifanya.Mimi naongelea kimpira si kimapenzi we umeona nimemuongelea vibaya Gyogerez kwenye ile game yake ya Kwanza alivyocheza ni kwasababu Kuna daraja kalitengeneza ndio maana ilikuwa ni mapema kumkosoa Sasa huyo Sesko ni daraja lipi kalitengeneza lakufanya uwe na matumaini naye makubwa ndipo ambapo ninawashangaa mashabiki wa man u
brother tafadhali huyo jamaa Mbeumo ni mwanaume mwenzetu usimfanyie hivyoKumekucha Kumekucha huko nyumbu muda wa lawama umefika sasa timu ina laana hii
View attachment 3437802
hapo sasa eeeh!, Chelsea biashara wamezowea aisee. kule Barca mliwaambia Nkunku kwa Fermin LopezNani akupe 50M kwa Garnacho? Hapo ni Butter trade Sterling na Garnacho.
Hao hao si ndio waliomsajili woghost na AnthonyTechnical director wanajua wanachokifanya.
Mchezaji ni kamali.
Checheche😂😂😂😂😂😂😂Hao hao si ndio waliomsajili woghost na Anthony
Hao technical director wao ni binadamu huwa wanakosea usiwaamini moja kwa mojaChecheche😂😂😂😂😂😂😂
Hapana — Antony na Wout Weghorst hawakusajiliwa chini ya uongozi wa sasa wa INEOS au Omar Berrada ( CEO) from man city.
Jason wilcox ( technical director) kaja mwaka huu mzee baba.
Hao ulio wataja ni uongozi uliopita ambayo kwa sasa walishaondoshwa.
Basi ndio tunazungumziaHao technical director wao ni binadamu huwa wanakosea usiwaamini moja kwa moja
Kipa kiungo is back😃😃😃[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pray for Man Utd View attachment 3438385
pazia lishawekwa kiraka tayari kuwekwa langoni. Ngoja uone mkorea aje atuambie Nyokores atamuweka ngapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pray for Man Utd View attachment 3438385
Aah pole sana Castr mnakocha Fala sana hivi hata kudus kweli hakumuona mpaka kuchuku winga kama winga madudueke. Kushabikia arsenal Netflix ni raha sana.Ningekua nashabikia nyumbu halafu akasajiliwa Onana na Casemiro ndiyo siku ningeacha kufuatilia nyumbu.
Sasa mkuu, kweli kabisa wewe unafahamu zaidi kuliko timu ya ufundi ya United? Wewe unatumia video vipi vya kitaktiki kusema hivyo? Unajua timu ya ufundi imeanza kumfuatilia Seśko toka lini? Yaani nikusikilize na kukuamini wewe kuliko timu ya ufundi ambayo ina rasilimali na muda wa kutosha wa kuskauti wachezaji.Mimi naongelea kimpira si kimapenzi we umeona nimemuongelea vibaya Gyogerez kwenye ile game yake ya Kwanza alivyocheza ni kwasababu Kuna daraja kalitengeneza ndio maana ilikuwa ni mapema kumkosoa Sasa huyo Sesko ni daraja lipi kalitengeneza lakufanya uwe na matumaini naye makubwa ndipo ambapo ninawashangaa mashabiki wa man u