Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi naongelea kimpira si kimapenzi we umeona nimemuongelea vibaya Gyogerez kwenye ile game yake ya Kwanza alivyocheza ni kwasababu Kuna daraja kalitengeneza ndio maana ilikuwa ni mapema kumkosoa Sasa huyo Sesko ni daraja lipi kalitengeneza lakufanya uwe na matumaini naye makubwa ndipo ambapo ninawashangaa mashabiki wa man u
Sasa mkuu, kweli kabisa wewe unafahamu zaidi kuliko timu ya ufundi ya United? Wewe unatumia video vipi vya kitaktiki kusema hivyo? Unajua timu ya ufundi imeanza kumfuatilia Seśko toka lini? Yaani nikusikilize na kukuamini wewe kuliko timu ya ufundi ambayo ina rasilimali na muda wa kutosha wa kuskauti wachezaji.

Acha masikhara aiseee
 
Basi ndio tunazungumzia
Kamali, kwani wakati mnamsajili jackson si mlikuwa na matumaini atafanya vizuri then what?
Vipi sesko akija huku akafanya vizuri?
Kwasabab bado umri una ruhusu?

Tunarudi pale pale kila kitu ni kamali.
Kwani umri wa Jackson hauruhusu mbona tunamuuza. Sisi tunamuuza Jackson sio kwamba amefanya vibaya kwasababu tunataka Bora zaidi na ndio maana tuka wasajili mastrikers wenye uwezo zaidi yake Joao Pedro na Delap na yeye akajipima akaona atakuwa chaguo la tatu ndio maana akaona Bora asepe.Dogba alianza Chelsea hata magoal 10 hajafikisha ila Jackson kaanza na goal 14 kitu ambacho sio kibaya kwa EPL but katika hizi goals 14 kapoteza chances nyingi hiki ndicho kinamuhukumu na kilichopelekea tusajili
 
Sasa mkuu, kweli kabisa wewe unafahamu zaidi kuliko timu ya ufundi ya United? Wewe unatumia video vipi vya kitaktiki kusema hivyo? Unajua timu ya ufundi imeanza kumfuatilia Seśko toka lini? Yaani nikusikilize na kukuamini wewe kuliko timu ya ufundi ambayo ina rasilimali na muda wa kutosha wa kuskauti wachezaji.

Acha masikhara aiseee
Nitoe mfano kwa Arsenal Technical director Team ikamuona Madueke na wakamsajili wewe Madueke unamuonaje? Nimeshindwa kuwatolea mfano kwenu kwasababu technical director Team ni mpya
 
pazia lishawekwa kiraka tayari kuwekwa langoni. Ngoja uone mkorea aje atuambie Nyokores atamuweka ngapi
Kuna yule ngongoti wa Psg Donnarumma wiki ya pili sasa kagoma kula anataka asajiliwe Manchester, mpaka dakika hii sijui hata tunakwama wapi.
Naona kamati ya usajili nguvu nyingi kwa sasa wanazielekeza kwa Baleba, wakishakamilisha dili la Baleba goli kipa la mikono 100 linatua Trafford.
Arsenyau na Nyokores wake washukuru sana tunacheza nao kabla ya hio miamba miwili haijatua Utd la sivyo tungewapeleka tena honeymoon ya zile goli 8.
 
Muda naona unakwenda hivi tutasajili kweli sajili mbili?
 
pazia lishawekwa kiraka tayari kuwekwa langoni. Ngoja uone mkorea aje atuambie Nyokores atamuweka ngapi
Gyokeres ana 2+ goals kwenye hyo game
Wengine sina uhakika

Ila mnaweza kuzalilika siku hiyo msipokua makini

Moja katika best midfielder kuwai kutokea
IMG-20250810-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom