Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nsharekebisha mkuu,si unajua tena pilao la pasaka.
mkuu hiyo 2-1 umeipata wapi? Ni 2-0 bana hata mi nimechanganyikiwa lakini we unaanza kupitiliza hebu rekebisha hiyo
 
Nani atoke, Mata aende kule kulia, Fellaini aingie hapo kati.
Hivi Moyes mpaka sasa hajajua kikosi chake cha 1 ni kipi? Nadhani angeanza na Welbeck afu Nani angetulia benchi Man Utd wangekuwa na nafasi ya kuwapa Everton shida.
 
Tehtehtehtehteh! Tunashukuru kwa kuwa muwazi though wishes zako unazitoa kwa shingo upande.
kaka niko pure kabisa naombea mechi ya leeo tupigwe ili izidi kuchochea kuondolewa kwa moyes na so far everton wamefanya kweli
 
Na huyu moyes wetu asivyojua sub. usishangae akamtoa Jones! akamuingiza Januzaj!
 
Na sisi huku leo tunaua mtu;
Da Gea, Jones, Smalling, Evance, Buttner, Carrick, Nani, Mata, Kagawa, Fletcher, Rooney.

Sub: Lindergaad, Giggs, Valencia, Fellaini, Januzaj, Hernandez, Welbeck

.....wapi huko, maana dahhh?!


#MosKwito !
 
kaka niko pure kabisa naombea mechi ya leeo tupigwe ili izidi kuchochea kuondolewa kwa moyes na so far everton wamefanya kweli

Moyez katuharibia sana timu yetu bora hata ifundishwe na kocha mchezaji mr. Giggs.
 
Nzi...!

Toa analysis yako kwa first half... nini kimewasibu?
 
Last edited by a moderator:
hivi moyes mpaka sasa hajajua kikosi chake cha 1 ni kipi? Nadhani angeanza na welbeck afu nani angetulia benchi man utd wangekuwa na nafasi ya kuwapa everton shida.
nani akacheze moon walk tu kiwango chake imekuwa bora wamrudishe bebe!
 
Back
Top Bottom