Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kipindi cha lala salama kimeanza, kumbuka mpaka sasa wao 2 sisi bado
 
Arsenane hapa roho zinawaumaaa wanajua Toffees watawazuia kushiriki UEFA.

haiwezekani kitu kama hicho wewe tulia dawa ikuingie vizuri usianze kutafuta sababu za kulazimisha furaha.
 
Angalao barkley amepigwa yellow apunguze kasi.
 
Aisee, ni heri hata Europa tukose, pengine tujipange. Maana ratiba ya Europa ni ngumu, ipo crowded na timu inasafiri sana; huku zawadi ya mshindi ni kiduchu.
 
Bora tufungwe ili mpate mshindani wa ubingwa wenu.

Mliingia kwa malengo ya kushinda baada ya kubanduliwa tumagoli tuwili mnaanza na stori za Boraa sasa kupigwa mnapigwa na top 4 everton haendi, na ndio hapo watu watakapoumia mara 2.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Man utd wanajifungisha ili wawazuie Arsenal kubeba kombe la nafasi ya 4.
 
Mliingia kwa malengo ya kushinda baada ya kubanduliwa tumagoli tuwili mnaanza na stori za Boraa sasa kupigwa mnapigwa na top 4 everton haendi, na ndio hapo watu watakapoumia mara 2.

Nyiye malengo yalikuwa kushinda 'ubingwa' wenu ule?!? Naona mnaelekea kutizima malengo, hongereni.
 
Back
Top Bottom