Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dk ya 14 tunashambuliana kwa zamu ila wao bila na sisi hatujapata kitu
 
Nimependa sana comments ya mdau mmoja kuwa Liverpool tutachukua kombe ila hatutakuwa na meno wala kucha mwaka huu... Kweli football wakati mwingine ni mpango wa mungu
 
Mkuu ARV vipi? Njoo bana unisaidie kutupia dondoo hapa
 
Last edited by a moderator:
Jinsi game ilivyo hadi sas hawa watu wa 7 hawatatusaidia wala kujisaidia leo. Everton watashinda
 
Everton wanapata penalt.
Jones yellow kwa kudaka mpira ndani ya box.
 
Dk ya 26 Jones aliunawa mpira ndani ya 18, ikatengwa penati, neimes anaipatia evaton bao la kwanza,
ev 1 - 0 man
 
Back
Top Bottom