Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya majamaa ya evaton yana nguvu na pumzi sana

cc babtutu kwa kukujibu bandiko lako hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Wazee wa msimamo tumeelemewa sana na tusipoangalia tutaoga mvua ya magoli mengi sana
 
Lukakooo a a a a, huyu jamaa ni hatari sana anatukosakosa hapa
 
Hahaaa,hii timu inabidi uwe unameza panadol ndo unaangalia,mechi zake;-)
 
Inabidi tuwawashie moto hawa. Tukicheza cheza hivi tutamaliza wa 10 kwenye ligi
 
Hivi Moyes mpaka sasa hajajua kikosi chake cha 1 ni kipi? Nadhani angeanza na Welbeck afu Nani angetulia benchi Man Utd wangekuwa na nafasi ya kuwapa Everton shida.
 
Back
Top Bottom