NANSOR WA RYMEZ
Member
- Sep 12, 2020
- 33
- 29
Mwenye group la wasap la man u alete link
The way aliondolewa hata ww huwezi rudi pale, kikwazo ni kiparaDe Gea aka Dagaa hawezi kurudi kwenye timu iliyo jaa laana.
Sio timu ni LitimuHii ni timu kweli?
Chelsea haiwezi kutoa 50 kwa Garnacho hiyo sahauTukiuza Anthony Kwa 45 million, garnacho 50 million, tunapata hela ya baleba...then GK nadhani bei zipo chini lzm tutasajili mfano de gea ni 15 million, Martinez 40 millioni na donaruma ni 45 million....wote hawa they can't say NO to man united...
I'm not sure but perhaps good days are coming
Mkataka mtuuzie 100 m yule michael jackson?Chelsea haiwezi kutoa 50 kwa Garnacho hiyo sahau
Hii ni timu kweli?
Sisi kazi yetu ni kupiga sio kupigwa ila niwe honest kwangu Jackson namuona ni Bora kuliko huyo Sesko ila Hana hiyo thamani shida ya Jackson ni kufunga magoal basi ila sio kwamba hafungi msimu ulipita kufunga 14 huwezi kumfananisha na mchezaji aliyefunga goal 13 kwenye ligi nyepesi Kama bundasliga. Jackson ana nguvu, anajua kudribble na kufanya mikimbia mingi ndani ya box ndio maana anapata nafasi nyingi za kufungaMkataka mtuuzie 100 m yule michael jackson?
Kwanini mnamtoa kwenye squad yenu?Sisi kazi yetu ni kupiga sio kupigwa ila niwe honest kwangu Jackson namuona ni Bora kuliko huyo Sesko ila Hana hiyo thamani shida ya Jackson ni kufunga magoal basi ila sio kwamba hafungi msimu ulipita kufunga 14 huwezi kumfananisha na mchezaji aliyefunga goal 13 kwenye ligi nyepesi Kama bundasliga. Jackson ana nguvu, anajua kudribble na kufanya mikimbia mingi ndani ya box ndio maana anapata nafasi nyingi za kufunga
Hakuna club yenye kocha anayejitambua akamchukua takataka jackson.Sisi kazi yetu ni kupiga sio kupigwa ila niwe honest kwangu Jackson namuona ni Bora kuliko huyo Sesko ila Hana hiyo thamani shida ya Jackson ni kufunga magoal basi ila sio kwamba hafungi msimu ulipita kufunga 14 huwezi kumfananisha na mchezaji aliyefunga goal 13 kwenye ligi nyepesi Kama bundasliga. Jackson ana nguvu, anajua kudribble na kufanya mikimbia mingi ndani ya box ndio maana anapata nafasi nyingi za kufunga
Ushindani we si umeona yule Joao Pedro anafunga Kama Hana akili nzuri Yeye ana kila kitu na anafunga vibaya chance moja goalKwanini mnamtoa kwenye squad yenu?
Lakini huyo ni Bora kuliko seskoHakuna club yenye kocha anayejitambua akamchukua takataka jackson.
wazee nataka kuona game ya Utd vs Fiorentina mwenye link naomba.
Huyu ndio mchezaji sasa lakini si hiyo takataka jackson, mlikua mnataka mtupe hicho kituko huku mkifikiri amorim ni Fala kama shaolin monki (kipara) 10 hag.Ushindani we si umeona yule Joao Pedro anafunga Kama Hana akili nzuri Yeye ana kila kitu na anafunga vibaya chance moja goal