Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unauhakika Gani na huyu mtu subiri acheze kwanza ndo utishie watu....bundesliga n matapeli sana aisee afu wanauza kwa bei kubwa
Hata kama ni matapeli ila hawajawafikia nyie Chelkenge.
Yaani mmetupiga kwa Mason Mount halafu mkawapiga na Arsenyau pesa ndefu kwa Kai harvez, Madueke, Kepa Arrizabalaga kwa kutuaminisha kua hao ni world class players wenye sifa zote za kustahili kua ballon d'or nominees.
 
Kwa mtu mwenye akili alikua anaona kabisa kua huo ni uwongo wa waziwazi.
Kudai timu haina hela wakati miezi mitatu iliyopita mashabiki walivyoanza kuchachamaa na kutaka Glazzers waachie timu, wao walikuja na plan ya kujenga uwanja mpya ili kupoza hasira za mashabiki, wakatuwekea mpaka mapichapicha ya muonekano wa uwanja jinsi utakavyokua, halafu leo wadai kua timu haina hela?
Kwa hio huo uwanja waliotaka kujenga wangeujenga kwa matakor yao?
Ila flano
 
Šeško ni mchizi mbaya kichwa—anaweza kuchana bao kwa mipira ya juu kama krosi au kona bila stress. Halafu anajua ata link vizuri na kina Cunha, Mbeumo na Bruno Fernandes wakishambulia kwa kasi. Kwa mfumo wa Amorim wa mpira wa haraka na kuchangamka, jamaa amekaa poa mbaya!
 
Šeško ni mtaalamu wa ku-move fasta na kubadilika mwelekeo ghafla, yaani mabeki wakimwangalia tu wanapotea. Anaweza kuvuta mabeki hadi wafunguke nyuma, halafu anatumia nafasi hizo vizuri sana—na hii inakaa freshi kwenye mfumo wa Rúben Amorim unaopenda transition za haraka na kushambulia moja kwa moja.
20250808_101758.jpg
 
Šeško huwa anabaki katikati kama mshambuliaji mkuu, lakini anapenda kushuka kidogo ili kuunganisha pasi, huku akiwavuta mabeki wamfuate, halafu ghafla anageuka na kukimbia kwenye nafasi wazi.
Ni staili ya mchezaji wa kisasa kabisa—imetengenezwa maalum kwa mfumo wa Amorim unaopenda kasi na kushambulia kwa nguvu. Hapa beki za EPL zitakiona
20250806_110323.jpg
 
Ni hatari mbele ya goli—ana nguvu na usahihi kwa wakati mmoja. Lakini nini kinamtofautisha zaidi na washambuliaji wengine ni speed
anakimbia muda wote uwanjani. Huyu jamaa ameumbiwa maalum kwa mfumo wa Amorim wa soka la kasi, mashambulizi ya moja kwa moja aseno watakoma
20250808_125713.jpg
 
Šeško anaweza kufunga hata akiwa mbali na la Goli—sio shida zake kabisa ana mashuti ya mbali (long-range). Ana kipaji cha kutoboa neti hata bila kuingia ndani ya box.
20250806_110323.jpg
 
Kwa mtu mwenye akili alikua anaona kabisa kua huo ni uwongo wa waziwazi.
Kudai timu haina hela wakati miezi mitatu iliyopita mashabiki walivyoanza kuchachamaa na kutaka Glazzers waachie timu, wao walikuja na plan ya kujenga uwanja mpya ili kupoza hasira za mashabiki, wakatuwekea mpaka mapichapicha ya muonekano wa uwanja jinsi utakavyokua, halafu leo wadai kua timu haina hela?
Kwa hio huo uwanja waliotaka kujenga wangeujenga kwa matakor yao?
Uwanja haujengwi Kwa cash, ni letters of credit
 
Huu usajili unaofanywa na Man Utd kwa sasa ndio kile alikiona Ralf Rangnick na akashauri ifanyike open heart surgery na sio cosmetic make up, tukamuona ameshindwa ila sasa tunatekeleza mapendekezo yake.
1. Leon
2. Dorgu
3. Cunha
4. Mbeumo
5. Sesko
6. Baleba/cdm loading...
7. golikipa loading....
Kimsingi huu ni kama usajili wa dirisha moja tu na wameondolewa wachezaji wote walioonekana kikwazo kwa develeopment ya wachezaji wapya au wachanga ili kuanza project mpya. Mwanzoni ilionekana haiwezekani ila sasa tunatekeleza bila ubishi.

Good days are coming
GGMU
 
Kwani msimamo wa Baleba ukoje kuhusu chama la dunia hadi sasa kwa wale wafuatiliaji wa mambo kama akina Samuel Luckhurst?
According to fabrizio Romano dogo baleba yeye hana shida yupo open lakini pia yupo na nidhamu kubwa kwa club yake wala hawezi kufanya migomo yoyote ya kususa kama isak kwa Newcastle.

Hivyo mpaka hapo wenye maamuzi ni Brighton na wanataka msimu mpya wa EPL dogo awepo. Lakin kuna mdau moja humu alinipendekeza nimfatilie David ornstein hivyo nimekubali kuwa fabrizio yupo chapu kwenye update mpya lakini kupata more detailed information ni David Ornstein hivyo nivizuri umsikilize maana mie bado cjapitia kiundani zaidi kutoka kwake.
 
Tukiuza Anthony Kwa 45 million, garnacho 50 million, tunapata hela ya baleba...then GK nadhani bei zipo chini lzm tutasajili mfano de gea ni 15 million, Martinez 40 millioni na donaruma ni 45 million....wote hawa they can't say NO to man united...
I'm not sure but perhaps good days are coming
 
De Gea aka Dagaa hawezi kurudi kwenye timu iliyo jaa laana.

Back
Top Bottom