King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,988
Ila flano[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa mtu mwenye akili alikua anaona kabisa kua huo ni uwongo wa waziwazi.
Kudai timu haina hela wakati miezi mitatu iliyopita mashabiki walivyoanza kuchachamaa na kutaka Glazzers waachie timu, wao walikuja na plan ya kujenga uwanja mpya ili kupoza hasira za mashabiki, wakatuwekea mpaka mapichapicha ya muonekano wa uwanja jinsi utakavyokua, halafu leo wadai kua timu haina hela?
Kwa hio huo uwanja waliotaka kujenga wangeujenga kwa matakor yao?