Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,012
- 7,742
Here we go soon....garnacho only wants Chelsea...he is clear ...deal to be finalized soon and here we gooGarnacho mmewapa Chelsea lini?
Here we go soon....garnacho only wants Chelsea...he is clear ...deal to be finalized soon and here we gooGarnacho mmewapa Chelsea lini?
Dah aisee timo Werner alikuwa anafukuzana sana na Babu lewa magoli anafunga mpk 18 kwenye ligi siku ya kwanza anakutana na Brighton kwenye ligi akasema mabeki wa epl mbona warefu hv 😂Msijipe matumaini makubwa sana maana hata huyo Sesko ni wa kawaida ila mmetoa pesa nyingi yaani ligi nyepesi Kama bundasliga unafuga goal 13 alafu unamwita mshambuliaji tishio vipi kwenye ligi ngumu Kama EPL? Timo Werner Katia kamba goal 25 Nini kimetokea alivyokuja EPL mfano mzuri pia Kai harvert.
Huu usajili siutamani utokee kabisaHere we go soon....garnacho only wants Chelsea...he is clear ...deal to be finalized soon and here we goo
Naikumbuka hii kauli yake na ndio ilimtia woga mpaka kuwa flop mazimaDah aisee timo Werner alikuwa anafukuzana sana na Babu lewa magoli anafunga mpk 18 kwenye ligi siku ya kwanza anakutana na Brighton kwenye ligi akasema mabeki wa epl mbona warefu hv 😂
Bruno miassist humjui?amad jeMie usajili mkubwa zaidi kwa united msimu huu ni kumuondoa Rashford hata kama ni kwa mkopo.
Unapiga mahesabu Kama vile mpira ni mrahisi kiasi hicho13 sesko
13 cunha
13 mbeumo
Anatosha kabisa huyo
Hichi kikosi mngempa KloppCunha Sesko Mbeumo
Fernandes Ugarte Maino
Dorgu Yoro Ligt Nousair
Onana
Shida inakuja kuwa hivi huyo cunha Huna uhakika Kama kiwango chake cha msimu uliopita ataleta msimu huu mpya kwa mbeumo yule ni mzuri ana consistency bado mnavuja katikati ya uwanja nyuma pia hamko vizuri pia hata muundo wa uchezaji wenu hauwafanyi muwe solid na ndio maana ninawaambia msiwe na matarajio makubwa mkaja kupigwa na kitu kizito mligeuze hili jukwaa lenu liwe uwanja wa kutokana matusiNadhani hujasoma vizuri au hujaelewa nilichoandika, usajili wa msumu huu wa utd umekwenda kutibu tatizo lililoisunbua timu toka Sir Ferg aondoke. Tumekuwa hatufungi magoli zaidi ya 50 kwa msimu. Msimu huu tumesajili wachezaji wenye uwezo wa kufunga zaidi ya magoli kumi kwa msimu n kutoa asist na pia ni mafundi na wawili wametoka EPL hivyo hata huyu Sesko hawezi kuwa na pressure kivile sababu wafungaji wengine wapo tofauti na Hodjlind ambaye mzigo alibebeshwa yeye. Kwa nafasi ambazo utd wametengeneza msimu uliopita chini ya Amorim kama zikitokea kipindi hiki chini ya huyu Sesko naamini watu watalia.
Ben Jacobs na Dan Ornstein wapo vizuri piaKumfatilia fabrizio Romano ni raha sana kwa video zake za nyuma ukimsikiliza kwa makini unaona kabisa 100% sesko anakuja kwetu.
Nyie ambao mpo vizr katikakati mmechukua makombe mangapi msimu uliopita?Shida inakuja kuwa hivi huyo cunha Huna uhakika Kama kiwango chake cha msimu uliopita ataleta msimu huu mpya kwa mbeumo yule ni mzuri ana consistency bado mnavuja katikati ya uwanja nyuma pia hamko vizuri pia hata muundo wa uchezaji wenu hauwafanyi muwe solid na ndio maana ninawaambia msiwe na matarajio makubwa mkaja kupigwa na kitu kizito mligeuze hili jukwaa lenu liwe uwanja wa kutokana matusi
Mie kwa garnacho ndio nimefurahi zaidi yeye na rashford ni wale immatured prayers waliyo selfish kupitiliza labda huko walipo watabadilika.Mie usajili mkubwa zaidi kwa united msimu huu ni kumuondoa Rashford hata kama ni kwa mkopo.
Soon anakuja kwenu kwahyo mtulize mshono.Garnacho mmewapa Chelsea lini?
Dah sio poa maana ukiwaza unaanza ligi na Netflix arsenal sio poa.Hapa nlikua nshakata ticket za kwenda UK...😁😁
Nitawafatilia pia.Ben Jacobs na Dan Ornstein wapo vizuri pia
Mshono tulizeni nyie huyo hajiSoon anakuja kwenu kwahyo mtulize mshono.
Soon ataondokaKwa iyo tumekubali kuanza ligi na casemiro mweeee
Sawa mda utasemaMshono tulizeni nyie huyo haji