Msijipe matumaini makubwa sana maana hata huyo Sesko ni wa kawaida ila mmetoa pesa nyingi yaani ligi nyepesi Kama bundasliga unafuga goal 13 alafu unamwita mshambuliaji tishio vipi kwenye ligi ngumu Kama EPL? Timo Werner Katia kamba goal 25 Nini kimetokea alivyokuja EPL mfano mzuri pia Kai harvert.Utd ya msimu ujao inafaa kutazamwa. Inaquality players hasa kwenye safu ya ushambuliaji. Kwa sas tuhitaji keeper na kiungo mmoja then tutaheshimiana tu. Embu fikiria unafanyiwa msako na Mbeumo, Cuhna, Sesko, Bruno na Hamad na wote wana uwezo mkubwa wa kufunga unaponaje hapo? Utd haijawhi kuwa mbaya kivile misimu yote tatizo letu limekuwa kwa wafungaji ndio maana tunaishiaga goal difference negative msimu ujao kila idara itaimarika.