Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwetu sisi hiki ni kitu kikubwa sana mkuu, tuache tupumue kidogo kabla ligi ya mateso haijaanza.
 

Sasa ni rasmi, Fabrizio kapost dakika chache zilizopita, na nilikua nasubiria fabrizio athibitishe tu na kafanya ivyo ivyo

Manchester United tunaandaa bid ya Sesko rasmi, na kama mjuavyo, dogo ameshakiri yeye ni UTD die hard fan

Zile assist za bruno, mbeumo, cunha na amad dogo ashindwe yeye tu
 
Netflix arsenal mnavituko sana 😁 yaani, unajisifia kwa kuitoa Madrid kwa 5-1, timu ambayo ilikua ishaanza kufa kwa kuwa na wachezaji wengi wabovu. Afu unakuja kushenyentwa na PSG kwa aibu kubwa home and away. Kumbe hayo ndio mafanikio yenu UEFA.
 
Sio suala la mapenzi jezi ya Chelsea ni nzuri ukilinganisha na msimu uliopita mbona jezi ya Liverpool nimeisifia ni Kali mno

Unamaanisha ni nzuri ukiilinganisha na ya msimu uliopita au siyo mbaya kama ya msimu uliopita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…