Binafsi naonelea usajili wa kiungo mkabaji mzuri ni muhimu kuliko hata striker ili tuweze kupambania walau top 6 msimu utakapoanza.
Sababu kubwa ni kwamba waliopo kwenye nafasi ya kiungo mkabaji hawana consistency ya ubora kuanzia ugarte, Casemiro na yule dogo wa academy.
Kwenye nafasi ya ushambuliaji tayari tumeishafanya maboresho kiasi yanatia moyo kwa Mbeumo na Cunha.
Ili akina Maguire na Yoro wasichoke na miili yao mikubwa ile, tuwape back up ya combative midfielder halafu mengine tumuachie Mungu tu.