Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu itarudi Top 4 kuanzia 2028 kama unahisi Msimu ujao itafanya vizuri basi andaa Asprin na Anti depresant kupunguza Mapigo ya Moyo Hii ni Everton ya sasa Msimu ujao inaweza kuwa Worst kuliko
 
Ndioo maana nikasema tuchukue mchezaji mwenye mapenzi na club si unaona etikite ameenda Liverpool napia ndio club aliyokua anaitaka.
Ila yule dogo sjawai kuona aise., anaitaka timu ila timu kama Haina shida nae sjui,,,.arsenal ni kama dharau wanafanya...Yan wewe unakubali kutoa paun 90+ mill , ushindwe kutoa 70+ kweli...tena sio 70, wamepungukiwa na paun mil 8 tu , arsenal ni ya kukosa paun milion 8?
 
Mkuu upo sawa kwa jinsi nilivyomsikiliza fabrizio hata mie nimeona kabisa gyokeres anataka kuja arsenal, sema arsenal ndio hawaonyeshi jitihada kubwa kumchukua.
 
Naskia Kuna ishu za nje ya mpira...sjui mambo ya matajiri hisa na UWEKEZAJI huko ureno
 
Dah unambiwa hadi mshua wake gyokeres anaililia sporting Lisbon isimbanie mwanae.
Mzee kweli alikua analia aise...lazima Kuna ishu nyeti nje ya hili Dili ...lazima..
Sisi tumepeleka ofa tayar naskia timu imepokea ila mchezaji kakataa..
 
Na huu ndio upumbavu ambao man u bado tunao, mpira wa sasa hutakiwi kumlazimisha mchezaji cjui hawakujifunza kwa ceicedo alivyowatosa Liverpool. Au hawaoni Barcelona wanachofanya hawachukui mchezaji ilimradi tu bali wanataka awe na mapenzi na club ndiooo maana rashford kakomalia kwenda kwa mkopo Barcelona hadi na kupunguza mshahara. Man u hatukutakiwa kufanya hijacking kwa kumchukua gyokeres ili asiende arsenal wakati mchezaji hataki kuja kwetu ni bora amorim achane nae tu.
 
Kweli kabisa mkuu..unaona kama mbeumo pia yeye alihimiza kua anataka kwenda man UTD ...hio naamin atajitoa kama Bruno aliekataa mapesa ya waarabu ...
 
We got a player that looks like a Pastor
20250721_000202.jpg
 
🚨 BREAKING: Manchester United have overtaken Arsenal in the race to sign Viktor Gyökeres! 🇸🇪🔥

While negotiations between Sporting and Arsenal are at a standstill, United have just submitted a higher offer!

Manchester United are CLOSE to an agreement with Sporting.

However, Viktor Gyökeres only wants to join Arsenal.

🗞️ @abolapt
 
Ila rashidi amenifurahisha sana nankunizhangaza
Bora amorim alimuona kua kwanza nidhamu ilikua mbovu, usupastaa hata mapenz na timu alikua Hana ukizingatia amekuzwa hapo, kukosa shukran na kusahau ulikotoka..
 
Back
Top Bottom