Paz3i
JF-Expert Member
- Oct 11, 2014
- 1,038
- 1,523
tajiri mwembamba ni shidaHuyu Omar Berrada ndiye yule alikuwa pale City au tumeuziwa clone yake!
Tunajadili deal la Mbeumo miezi 2 na bado tutaishia kumnunua kwa bei wanayotaka Brentford,
tajiri mwembamba ni shidaHuyu Omar Berrada ndiye yule alikuwa pale City au tumeuziwa clone yake!
Tunajadili deal la Mbeumo miezi 2 na bado tutaishia kumnunua kwa bei wanayotaka Brentford,
tajiri mwembamba ni shida
hata sielewi kalitokea wap❔ haka kauza sumuMwishowe tutamkumbuka Mwarabu tena.
Tulisha waambia njooni na 70 tuwape straika la mabao profesa nicolaus jackson steka la magoli teka linawafaa sana hapo matofalini acheni luteseka wakati kuna streka la kuwapa ubIngwa kwa bei fear kabisa 70M tuu mnafeli wapi??Huyu Omar Berrada ndiye yule alikuwa pale City au tumeuziwa clone yake!
Tunajadili deal la Mbeumo miezi 2 na bado tutaishia kumnunua kwa bei wanayotaka Brentford,
Project zina kufaulu na kufeli pia.Tusipobeba sawa lkn tutakuwa na team ya ubingwa means tutakuwa imara sana hii ndio maana ya project .
Hivi hawa Chelsea nyie mnawaelewa mbona km wanajua kuforce sana makombe
Man United's summer transfer window so far:Huyu Omar Berrada ndiye yule alikuwa pale City au tumeuziwa clone yake!
Tunajadili deal la Mbeumo miezi 2 na bado tutaishia kumnunua kwa bei wanayotaka Brentford,