Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Gyokeres to Man UTD

final agreement sealed and HERE WE GO soon

145€ million + 100 € million ad ons...

Ameing'ang'ania arsenal kama kunguni ila tumewin vita hii...Heko Heko gyokeres is red and red
😂😂😂😂Mkuu kasajiliwa man u ipi huyo
 
Aisee hii timu au wauza kahawa tu
 

Attachments

  • 20250715_093634.jpg
    20250715_093634.jpg
    233.4 KB · Views: 25
Mna macho lakini hamuoni mashine zipo sokoni Jackson, Nkunku, Lavia, Fofana. No udalali.
Kuna uhuni Chelkenge naona mnaenda kutufanyia tena, Kuna timu kibao nje ya Epl zimeonesha nia ya kumtaka Garnacho ila dogo akanaza anataka kubaki England, Chelkenge ndio timu pekee Uingereza iliyoonesha nia ya kutaka kumsajili, hivyo hapo Kuna swap ya kihuni ya Nicolas Jackson tunaenda kufanyiwa muda sio mrefu halafu tutatakiwa pia kuwaongezea pesa kenge hawa.
 
Huyu Omar Berrada ndiye yule alikuwa pale City au tumeuziwa clone yake!
Tunajadili deal la Mbeumo miezi 2 na bado tutaishia kumnunua kwa bei wanayotaka Brentford,
 
Huyu Omar Berrada ndiye yule alikuwa pale City au tumeuziwa clone yake!
Tunajadili deal la Mbeumo miezi 2 na bado tutaishia kumnunua kwa bei wanayotaka Brentford,
Tulisha waambia njooni na 70 tuwape straika la mabao profesa nicolaus jackson steka la magoli teka linawafaa sana hapo matofalini acheni luteseka wakati kuna streka la kuwapa ubIngwa kwa bei fear kabisa 70M tuu mnafeli wapi??

Hapo manyumbu hakuna mkata umeme wa kumuweka lavia bench hakuna winga teleza inayoweza cheza na namba zote hapo mbele 7 9 na 11 zaidi ya HON CHRISTOPHER NKUKU Njoeni na 70 tuwape ama njooni na 135 tuwape nkuku na jackson
 
Back
Top Bottom