Niraishangaa sana Manchester united kama hawata vuta mpunga wa Bruno.
Waarabu wapo tayari kutoa 100 million usd kwaajili ya kumsajili Bruno ambaye anakimbilia miaka 31.
Bruno ni mchezaji mzuri sana lakini kwa kiwango cha fedha ambazo Waarabu wapo tayari kuzitoa utakuwa ni ujinga wa kiwango cha juu kupitiliza.
Ukitazama uchezaji wa Bruno msimu huu kilizidi kipanda sana ingawa team haikufanya vizuri.Kwa kawaida kadri miaka inavyozidi kusonga mbele kiwango kinashuka.
100 million usd tunaweza kupata wachezaji 2 au 3 vijana wa kiwango cha juu sana.
Iwapo Man itambakiza Bruno ni hakika hii team itachukua miongo mingi kurejea katka soka la ushindani.