Toeni 200 mil hivi muweze kuvutia kiungo atakeyekubali kuchezea timu iliyomaliza nafasi ya 15 na GD ya -10. La sivyo tegemeeni hao hao au mbarikiwe kupata mchezaji mkali ila hajulikani halafu afanye maajabu.Hivi kuna tetesi ya kusajili kiungo mwingine wa kukaba au tunaenda na Case na Ugarte kama kawaida yetu?
NDio inasemekana


Masingeli banaa timu lako limemaliza phase 7 linaenda phase 8 mikono mitupu, kila msimu nyie mnakua wasindikizaji tu. et wana tour baran asiaNyie vibwengo mnacheza ligi gani huko China
Endeleeni kutamba, mwamba niko chaka najipanga.Mayatima fc, kwakweli munatia huruma sana ..sasa musimu ujao nasikia hamupo kwenye kombe lolote labuda epl tuu daah 😭😭😭😭😭
🤣🤣🤣🤣😲😳😲😲😲😲😲Endeleeni kutamba, mwamba niko chaka najipanga.
Tukutane misimu miwili mbele.
Kila siku tukutane Msimu ujaoEndeleeni kutamba, mwamba niko chaka najipanga.
Tukutane misimu miwili mbele.