Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe tulia hapohapo na kama una jero mfukoni agiza Pepsi baridiii, tunataka tuwaonyeshe burudani na kuwafundisha Chelkenge namna ya kubeba kombe kwa kupiga comeback katika dakika za lala salama.
Raha ya kubeba kombe kama hili ni vile dakika zinakaribia kuisha na mashabiki wanakua wameshaanza kukata tamaa halafu ghafla unawanyanyua mashabiki kwa shangwe la hatari, hua inaleta msisimko wa hali ya juu sana.
Sio leo
 
Niwe mkweli tu kitendo cha kumtoa rvn kwenye ukocha na kumpa huyu amorin iliharibu kila kitu
 
Ni afadhali tumeshindwa tu sababu hii timu ingepata nafas ya kwenda uefa tungeenda tia aibu tu. Nadhani sasa msimu ujao tutakuwa na mida mzuri wa kificus na ligi tu.
 
IMG_0719.jpeg
 
Back
Top Bottom