Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa wanangu itakuwaje

Si bora mngewaachia bilbao wamnyooshe huyo spurs🤣🤣🤣🤣

Picha linaanza son park dkk ya 3 na tisa anatupia

Half time manunu 0-2 spurs😅😅

FT mununu 1-5 spurs 😅😅

Fukuzen reuben kabla ya fainal mpen ten hag awape ndoo usiku wa leo

Huruma🤣🤣🤣🤣
Khanji una undugu na shaulini monk ten hag.
 
Line-ups
Screenshot_20250521_205658_Opera (1).jpg
 
Leo tunaweka kambi rasmi hapa, tupo na bundi mmoja mkubwa sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Karibuni sana mfurahie soka maridadi kabisa kutoka kwa vijana machachari wa kocha la makombe Ruben Amorim, pia hii ni fursa nzuri sana kwa Chelkenge kujifunza namna ya kucheza mpira kwa malengo.
 
Back
Top Bottom