Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1747478484422.jpeg

Dogo anaelekea real madrid, sitomsamehe kipara kwa ujinga alioufanya.

Screenshot_20250517_134111_Chrome.jpg
 
Ila aliemroga Hojlund amhurumie basi japo kidogo, mwamba anateseka kinoma katika, Kwenye kutafuta tiba kaenda mpaka Bagamoyo kaambiwa Rashidi ndie aliemroga, kapewa hirizi aivae wakati wa mechi halafu kaifunika na bandage, lakini bado gps imesoma refa akamwambia akaivue
Katika kuzuga anajitetea kua aliyovaa ni smart watch sio hirizi, sasa tokea lini smart watch inavaliwa kisha inafunikwa na bandage?
Mimi nilikua najua haya mambo ni huku kwetu Africa tu, kumbe mpaka ulaya watu wanapigana misumari.
98470315-0-image-a-26_1747438827877.jpg
 
Man united mbona tunachelewa kusajili hivi shida Huwa ni nini??
Na kwanini tunasajili wachezaji wazuri lkn wakija wanakuwa wabovu, shida nini??
Na makocha wakija wanafeli japo wanakuwa makocha Bora kabla yakuja kwetu??
Yaani nje ya mabosi ineos na glazer nini tatizo?? Make me siamini wanasababisha wachezaji washindwe kupiga hata pass.

TATIZO NI NINI???
naombeni Kila mtu atoe maoni yake wakuu
 
Kuna huyo mchezaji wenu Dorgu kama hakai ulaya vile!! Mvuta bangi sio mvuta bangi, mkabaji sio mkabaji yaani haeleweki. Mlimtoa mkoa gani?
Huyu jamaa ingawa ni improved version ya malacia, lakini mimi simuamini kuanza naye msimu mpya kama starter. Hana consistency kwenye defensive na offense.
Kumlaumu Amorin ni kumuonea bure tu
 
Manyumbu club yenu imekuwa academy kwa vilabu vingine. Naona kijana wenu Mason Greenwood kaibuka kuwa topscorer kule french ligue 1, Antony nae tayari sokoni kuna foleni
 
Mason Greenwood
Dean Henderson
Scott McTominay
Álvaro F. Carreras

Tumekosea wapi sisi!?
images.jpeg
 
Wachezaji makatili kama Hawa hii timu haiwez kuwasjili kabisa .. wamezoea kusajili milenda milenda washenzi washenzi wapuuzi wenye vinasaba na British assholes ..
 

Attachments

  • 20250518_144343.jpg
    20250518_144343.jpg
    355.3 KB · Views: 11
Unamuangalia greenwood then unamuangalia hujlund unabaki kutikisa kichwa, hii timu haitakaa ifanikiwe Tena wallahi tukubali tu maumivu maana viongozi wamekua na maamuzi ya kipuuzi sana.
Washenzi tu wapumbavu sijui hua wanawaokota wapi ...maambwa tu hii timu nlimtamani ishuke daraja ili akili zitoke vinyesi walivyoweka humo kwenye ubongo
 
Man united mbona tunachelewa kusajili hivi shida Huwa ni nini??
Na kwanini tunasajili wachezaji wazuri lkn wakija wanakuwa wabovu, shida nini??
Na makocha wakija wanafeli japo wanakuwa makocha Bora kabla yakuja kwetu??
Yaani nje ya mabosi ineos na glazer nini tatizo?? Make me siamini wanasababisha wachezaji washindwe kupiga hata pass.

TATIZO NI NINI???
naombeni Kila mtu atoe maoni yake wakuu
Walichofanya man city mwanzon kabisa wa kuanza kutafuta mafanikio na kuacha DNA British assholes stupid shit Britishers era, ndio tunatakiwa tufanye sisi. Walifanyaje? Tafuta ujue. Tofauti na hapo msimu ujao sio tena nafasi ya 16, tunashuka daraja.
 
Back
Top Bottom