IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,811
- 7,277
Tafuteni kipa wa kueleweka mtamfilisi huyu babu
huyu nae ni tapel pesa kapeleka wap? 😁Tafuteni kipa wa kueleweka mtamfilisi huyu babu
View attachment 3336171
Acha afilisike kabisa kwa sababu timu wameiharibu wenyewe.Tafuteni kipa wa kueleweka mtamfilisi huyu babu
View attachment 3336171
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu babu acha afilisike tu, ikiwezekana aishiwe kabisa akose hata pesa ya kununulia viatu awe anatembea peku mjinga huyu, ameleta figusu mpaka Mwarabu kanyimwa timu kwa sababu yake kenge huyu.Tafuteni kipa wa kueleweka mtamfilisi huyu babu
View attachment 3336171
Unai gani anakuja.???Tupewe kombe letu tu-focus na mambo ya msingi.
Unai akija OT inatakiwa akaribishwe na kombe baada ya fedheha aliyoipatia United na vijana wake wa the Yellow Submarine.
Unai Emery.Unai gani anakuja.???