Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 50,896
- 122,777
Aiseeisak + gordon = 3-1 man u kafa
Aiseeisak + gordon = 3-1 man u kafa
Bruno kakuharibia😱 refa maliza mpira m nakaa mbali 😁
Mkuu umenifilisi maneno,fikiria unamweka beki chipukizi.Ms*nge tu naye Ruben. Mechi ngumu kama hizi sio za kumuacha beki kisiki kama Maguire. Yaani Lindelof aliyeoza ndio anamuweka benchi Maguire?
Uhakika mkuu 🔥Tunashinda hii game
GGMU
Mpuuzi sana.Mkuu umenifilisi maneno,fikiria unamweka beki chipukizi.
Nadhani Mwl ni mpuuzi mkubwa.
j5 & alhamis zitalipa 😁Bruno kakuharibia
Watafute kipa wa kueleweka?Nyie nao kenge kweli
Mambo ni vipi mzee babaTunashinda hii game
GGMU