Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahiyo duniani hakuna kama Bruno na hakuna kama Casemiro?

Ulihamia Wolves. What happened?
Sijasema hakuna kama Bruno na Casemiro. Nilisema kuwa WCP maana yake upo kwenye kundi la wachezaji bora Duniani, na kuwa hapo lazima uwe una-perform consistently kwenye Club & County/International level.

Arsenal wachezaji ninaoona wanaoweza kufikia kuwa WCP ni Saka, Rice & Saliba.

World Class Player, kwa sasa inatumika vibaya mpaka mchezaji kama Yamal ambaye hajafanya lolote kwenye soka anaitwa WCP.

EPL ukisema WCP:

GK: Alisson, Ederson
Def: Vv Dijk
Mid: KDB, Bruno, Rodri, Casemiro
Fwd: Salah, Haaland, Son H-M

Nilikuwa Brighton kwa muda tu!
 
Kama unamaanisha winners wa trophies za dunia mbona unaforce kumuingiza Bruno? Silva unamchukuliaje?
 
Kama unamaanisha winners wa trophies za dunia mbona unaforce kumuingiza Bruno? Silva unamchukuliaje?
Siyo makombe, ni individual performances. Bruno si-force kumuingiza kwenye list, namba zipo, kwenye misimu 9 kuanzia Sporting Bruno ana uhakika wa 15 G/A kwenye ligi tu na kuna misimu aliyofanya vizuri zaidi:

2018/19: 33 games, 33 G/A
2020/21: 37 games, 30 G/A

Silva, Bernardo? Kama ni huyo anafanya vizuri lakini kwenye G/A hakuna consistency.
 
INEOS.
formation_11_04_2025_ 01_05_00.png
 
Siyo makombe, ni individual performances. Bruno si-force kumuingiza kwenye list, namba zipo, kwenye misimu 9 kuanzia Sporting Bruno ana uhakika wa 15 G/A kwenye ligi tu na kuna misimu aliyofanya vizuri zaidi:

2018/19: 33 games, 33 G/A
2020/21: 37 games, 30 G/A

Silva, Bernardo? Kama ni huyo anafanya vizuri lakini kwenye G/A hakuna consistency.
Ikiwa World Class Player means individual performance na nyinyi mna World Class Players kwanini hawatumii individual brilliance yao kuwafikisha sehemu sahihi kama makocha mnaopata ni clueless?
 
Onana Leo a napumzika, ngoja tone huyo mwingine. I wish tuwafunge New Castle.
 
Nyie viazi mnatakiwa kushinda leo tupo upande wenu, sasa mkatikise matak# tu huko uwanjani badala ya kucheza mpira.

Wale wa utabiri mtupishe tu kwa leo.
 
LEO HAMAS WA SOKA A.K.A ONANA HATACHEZA.

AHSANTE SANA REUBENI
Ms*nge tu naye Ruben. Mechi ngumu kama hizi sio za kumuacha beki kisiki kama Maguire. Yaani Lindelof aliyeoza ndio anamuweka benchi Maguire?
 
Back
Top Bottom