kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,437
Ilitabiriwa baada ya liverpool kuteseka ndani ya miaka 30 sasa ni zamu ya Man u kuteseka miaka 30 bila chochote!
Pain bro, pain everywhereMambo ni vipi mzee baba
Leny nyoro nyoro anaangalia km Kuna uwezekano wa offside😂Sasa hii video Ina ubaya Gani
View attachment 3305474
Yeyote anayejiona kuwa yeye anatuweza apeleke maombi PSG wanunue hizo mechi waje wapambane nasi wao.Kama mnaona Madrada kaonewa leteni timu yenu nyumbu 😁😁😁View attachment 3307246